JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
Hivi wewe hapo umetumia akili?
 
Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake

Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ

Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye makazi Yao

Sasa mwanajeshi akubali vip kuishi kwenye nyumba yaenye mabango ya kampeni za Kisiasa? Wakati ni kinyume cha kiapo chake,
Yaani mnatakanna wanajeshi waimbe " iyena iyena"

Basi labda kweli wana makosa kwanini usiwapeleke mahakama ya kijeshi wapate haki Yao huko
Au kama sio wapeleke mahakama za kiraia,
Sasa unawakamata ili iweje na mahakamani huwafikishi, upo unawatesa vijana wetu ?

Tumetoka pabaya kama taifa hata tunaotegemea wakomboe nchi nao wanatekwa bila kufata taratibu na Wanajeshi wenzako wanaona sawa

JWTZ chukueni nchi mnyoshe mambo
Mafwele ametufungua macho kuwa wajeda wa TZ ni machoko tu hawana lolote, kama anawateka na kuwapelekea moto kwa kuwatandika mbuzi kagoma kwenda kuna jeshi tena hapo.
Halafu walivyo wachumba wanakubali kuchanganywa na polisi kwenye parades uchwara mpaka sasa polisi wanawachukulia poa, jeshi mdebwedo.
 
Inabidi alipotiwe kambini anapoishi kwamba amefanya kosa fulani na fulani uraiani kisha Mkuu wake ndio atatoa go ahead aidha arudishwe kambini akashughulikiwe na Jeshi au la km kosa ni la kuhukumiwa kiraia na kuondolewa Jeshini (jinai mfano kuua, kubaka, kulawiti, nk) anabakia kituo cha polisi anapelekwa Mahabusu na kushtakiwa na Jamhuri sio kuwekwa mateka na kikundi fulani cha watekaji, unaelewa taratibu zilivyo wewe au unataka kujifunza?
Sahihi umemjibu na kumpa elimu ila najua nitasoma comment yake huko mbele. Hana akili ya kuelewa
 
Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
Active soldiers wana sheria zao na mahakama zao, ndiyo utaratibu. Court-martial and martial laws vinginevyo afukuzwe kwanza jeshi ili akamatwe na polisi na apelekwe mahaka za kiraia, hapa this shit it's like Mafwele is above martial laws na hata Military Police department(MP) hawatambui na anawadharau.
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa nikisema huna Akili utasema Nakutukana? Ni mara ngapi tunashuhudia Wanajeshi wakipelekwa Vituo vya Polisi kwa Makosa ambayo hata wasio Wanajeshi hushtakiwa nayo? Nimeishi sana Kawe na 50% ya Wanajeshi wa Kambi ya Lugalo walikuwa Wana (Marafiki) na wapo ambao niliwaona wakipelekwa pale Kawe Police Station kwa Makosa na tena kuna Mmoja nilishawahi hadi Kumdhamini kwa Kosa la Kipumbavu ambalo alilifanya pale Hipro Bar Kawe.

Na ndiyo maana nasema na nitasema kuwa kwakuwa tayari tumeshajazwa Chuki na Hasira kumhusu Mafwele, Jeshi la Polisi, Usalama wa Taifa, CCM na Rais Samia basi hata kama Mambo mengine ni ya Kawaida tu na ya Kisheria kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado tutasema kuwa Wanaonewa au Ubabe unatumika dhidi ya Watu fulani fulani.

Tujitahidini sana kutumia Akili za kawaida tu na siyo kupelekeshwa Kimihemko kama ambavyo wengi wenu mnafanya sasa.
Kukaa kwako kawe karibu na jeshi ilikuwa ni fursa kujifunza lakini hii bado imekupita kushoto. Na umetimiza msemo usemao kua karibu na mahakama siyo kujua sheria
 
Active soldiers wana sheria zao na mahakama zao, ndiyo utaratibu. Court-martial and martial laws vinginevyo afukuzwe kwanza jeshi ili akamatwe na polisi na apelekwe mahaka za kiraia, hapa this shit it's like Mafwele is above martial laws na hata Military Police department(MP) hawatambui na anawadharau.
Mwelimisheni huyo mkaa jirani na jeshi akidhani anajua sana mambo ya jeshi
 
Una uhakika unazijua vyema Sheria? Aliyewadanganyeni kuwa Wanajeshi wako juu ya Sheria za Nchi ni nani? Pathetic.
Nimejua wewe ni layman hata haya mambo ninayokueleza hapa yapo juu ya uweZo zako
 
Kwani unafikiri wenyewe ndiyo hawaogopi kukamatwa na Polisi? Hayo matenbezi wanayowaunganisha kutembea pamoja mitaani na kuwakutanisha kutanisha kila mara imesaidia sana Polisi kuwaona kumbe jamaa ni wa kawaida sana.
Una akili sana
 
Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
Kijana wa Kagame unapata wapi nguvu ya kuongelea mambo ya Wananchi wa Tanzania wewe ni Myarwanda uliekulia Mara tulia watanzania waongelee nchi yao
 
Back
Top Bottom