Enzi za Idi Amin Dada hawa ndio walikuwa Jeshi la Wananchi.JWTZ chukueni nchi mnyoshe mambo
Kosa kubwa sana hiloKwani unafikiri wenyewe ndiyo hawaogopi kukamatwa na Polisi? Hayo matenbezi wanayowaunganisha kutembea pamoja mitaani na kuwakutanisha kutanisha kila mara imesaidia sana Polisi kuwaona kumbe jamaa ni wa kawaida sana.
Wanaanza kutekwa na wao sasa bila kuangaliwa ni JW au ni naniEnzi za Idi Amin Dada hawa ndio walikuwa Jeshi la Wananchi.
Hili la sasa, viongozi wake wamewekwa kwapani.
Ukiona Hangaya anatamka kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu kwenye shughuli za kisiasa, ujue kwisha kazi!
Eti jeshi la ulinzi wa nchi wanakimbia mitaani na mgambo ili kuwatisha wale waliopaswa kuwalinda na kuwatia moyo.
Kuna jeshi la ulinzi kweli hapo??
Uko sahihi kwa 100% Tangu nijitambue nilikuwa nafahamu kuwa mjeda na poli ni paka na panya.Hayo matenbezi wanayowaunganisha kutembea pamoja mitaani na kuwakutanisha kutanisha kila mara imesaidia sana Polisi kuwaona kumbe jamaa ni wa kawaida sana.
Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake
Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ
Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye makazi Yao
Sasa mwanajeshi akubali vip kuishi kwenye nyumba yaenye mabango ya kampeni za Kisiasa? Wakati ni kinyume cha kiapo chake,
Yaani mnatakanna wanajeshi waimbe " iyena iyena"
Basi labda kweli wana makosa kwanini usiwapeleke mahakama ya kijeshi wapate haki Yao huko
Au kama sio wapeleke mahakama za kiraia,
Sasa unawakamata ili iweje na mahakamani huwafikishi, upo unawatesa vijana wetu ?
Tumetoka pabaya kama taifa hata tunaotegemea wakomboe nchi nao wanatekwa bila kufata taratibu na Wanajeshi wenzako wanaona sawa
JWTZ chukueni nchi mnyoshe mambo
Ndio maana jamaa baada ya kuwasoma kawaona Mandezi tu kaanza kuwateka mmoja mmoja anaenda kuwauaUko sahihi kwa 100% Tangu nijitambue nilikuwa nafahamu kuwa mjeda na poli ni paka na panya.
Nimekuja kushangazwa sana awamu hii
Una uhakika kuwa Mafwele anawaua au nawe umeshaingia mazima katika Mihemko ya Wapumbavu kumhusu Yeye?Ndio maana jamaa baada ya kuwasoma kawaona Mandezi tu kaanza kuwateka mmoja mmoja anaenda kuwaua
Inabidi alipotiwe kambini anapoishi kwamba amefanya kosa fulani na fulani uraiani kisha Mkuu wake ndio atatoa go ahead aidha arudishwe kambini akashughulikiwe na Jeshi au la km kosa ni la kuhukumiwa kiraia na kuondolewa Jeshini (jinai mfano kuua, kubaka, kulawiti, nk) anabakia kituo cha polisi anapelekwa Mahabusu na kushtakiwa na Jamhuri sio kuwekwa mateka na kikundi fulani cha watekaji, unaelewa taratibu zilivyo wewe au unataka kujifunza?Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
Wametenda jinai Gani?Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
Kwa hiki ulichokiandika hapa nikisema huna Akili utasema Nakutukana? Ni mara ngapi tunashuhudia Wanajeshi wakipelekwa Vituo vya Polisi kwa Makosa ambayo hata wasio Wanajeshi hushtakiwa nayo? Nimeishi sana Kawe na 50% ya Wanajeshi wa Kambi ya Lugalo walikuwa Wana (Marafiki) na wapo ambao niliwaona wakipelekwa pale Kawe Police Station kwa Makosa na tena kuna Mmoja nilishawahi hadi Kumdhamini kwa Kosa la Kipumbavu ambalo alilifanya pale Hipro Bar Kawe.Inabidi alipotiwe kambini anapoishi kwamba amefanya kosa fulani na fulani uraiani kisha Mkuu wake ndio atatoa go ahead aidha arudishwe kambini akashughulikiwe na Jeshi au la km kosa ni la kuhukumiwa kiraia na kuondolewa Jeshini (jinai mfano kuua, kubaka, kulawiti, nk) anabakia kituo cha polisi anapelekwa Mahabusu na kushtakiwa na Jamhuri sio kuwekwa mateka na kikundi fulani cha watekaji, unaelewa taratibu zilivyo wewe au unataka kujifunza?
Una uhakika unazijua vyema Sheria? Aliyewadanganyeni kuwa Wanajeshi wako juu ya Sheria za Nchi ni nani? Pathetic.Wametenda jinai Gani?
Yaani kubandua picha za mgombea Urais wa CCM kwenye nyumba wanayoishi ni kosa
Kwanini waweke picha za wagombea kwenye nyumba ya mwanajeshi kama sio kuwachokoza na kuwadhalilisha
Sawa Sasa wawapeleke mahakamani sio kuwashikilia tu
Hizo hatua za "hawana maisha tena" ndio watu wanazipinga. Kwanini usifiatwe utaratibu rasmi wa kisheria?Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.
HakunaEnzi za Idi Amin Dada hawa ndio walikuwa Jeshi la Wananchi.
Hili la sasa, viongozi wake wamewekwa kwapani.
Ukiona Hangaya anatamka kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu kwenye shughuli za kisiasa, ujue kwisha kazi!
Eti jeshi la ulinzi wa nchi wanakimbia mitaani na mgambo ili kuwatisha wale waliopaswa kuwalinda na kuwatia moyo.
Kuna jeshi la ulinzi kweli hapo??
Mtu kuja kubadika mabango sehemu unayoishi bila ya kukutaarifu ni halali?Kwahiyo Mwanajshi akikosea kwa Sheria za nchi na hasa za Uchaguzi hapaswi Kuchukuliwa hatua za Jeshi la Polisi? Chuki zenu kwa huyu Mafwele ni kama vile zimewafanya sasa muache kutumia Akili zenu hasa katika kutambua tu mambo ya Kawaida Kisheria. Mihemko yenu iliyojaa Chuki na Hasira kwa Rais Samia, CCM, TISS na Jeshi la Polisi imewapelekea muanze kuoekana hamna Akili kabisa.