JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

Hivi wewe hapo umetumia akili?
 
Mafwele ametufungua macho kuwa wajeda wa TZ ni machoko tu hawana lolote, kama anawateka na kuwapelekea moto kwa kuwatandika mbuzi kagoma kwenda kuna jeshi tena hapo.
Halafu walivyo wachumba wanakubali kuchanganywa na polisi kwenye parades uchwara mpaka sasa polisi wanawachukulia poa, jeshi mdebwedo.
 
Sahihi umemjibu na kumpa elimu ila najua nitasoma comment yake huko mbele. Hana akili ya kuelewa
 
Active soldiers wana sheria zao na mahakama zao, ndiyo utaratibu. Court-martial and martial laws vinginevyo afukuzwe kwanza jeshi ili akamatwe na polisi na apelekwe mahaka za kiraia, hapa this shit it's like Mafwele is above martial laws na hata Military Police department(MP) hawatambui na anawadharau.
 
Kukaa kwako kawe karibu na jeshi ilikuwa ni fursa kujifunza lakini hii bado imekupita kushoto. Na umetimiza msemo usemao kua karibu na mahakama siyo kujua sheria
 
Mwelimisheni huyo mkaa jirani na jeshi akidhani anajua sana mambo ya jeshi
 
Una uhakika unazijua vyema Sheria? Aliyewadanganyeni kuwa Wanajeshi wako juu ya Sheria za Nchi ni nani? Pathetic.
Nimejua wewe ni layman hata haya mambo ninayokueleza hapa yapo juu ya uweZo zako
 
Kwani unafikiri wenyewe ndiyo hawaogopi kukamatwa na Polisi? Hayo matenbezi wanayowaunganisha kutembea pamoja mitaani na kuwakutanisha kutanisha kila mara imesaidia sana Polisi kuwaona kumbe jamaa ni wa kawaida sana.
Una akili sana
 
Kijana wa Kagame unapata wapi nguvu ya kuongelea mambo ya Wananchi wa Tanzania wewe ni Myarwanda uliekulia Mara tulia watanzania waongelee nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…