JWTZ mpaka leo imeshindwa kuajiri wasomi wenye vipaji halisi, sababu hizi hapa...

JWTZ mpaka leo imeshindwa kuajiri wasomi wenye vipaji halisi, sababu hizi hapa...

Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.

Una Masters Tayari ila Hujasoma Kuelimika bali Kama Wajibu tu na Mkumbo Kwani Nijuavyo Msomi wa Calibre Yako Hawezi KUSEMA KUWA UNA MASTERS YA LAW NA UKAIITA NI LLB badala Ya LLM. Hata Mimi Mwenye B A Yangu hadi Sasa Nakushinda ktk UFAHAMU na KUPANGILIA MAMBO na Nina CONFIDENCE Ya Nguvu. Masters Yako Itufanye Tujifunze Mengi Kutoka Kwako na Siyo Rubbish Kama Hizi. Masters Ya LAW inaitwa LLM na Siyo LLB Swine Mkubwa na Masters Yako na UMEWATIA AIBU Lawyers na Advocates Wengi Ninaowaheshimu na Waliopo Humu JF na Marafiki Zangu Pia na Sijui Pia Umesoma Chuo Gani na Kipi ili Nikitilie Mashaka pamoja na Lecturers Wake!
 
Acheni ujinga nyie na upuuzi wenu kakosea ni ll,m ,(legum magister)

Tena Wewe Nadhani Ndiyo Mjinga na -------- Wa Kupitiliza. Unachokitetea hapa Ni Nini? au Unataka Mpaka Tuweke CV Zetu Hapa Wewe ----- Nazi? Nakufundisha Mara Ya Mwisho Fisrt Degree Ya Law Inafupishwa Kwa LLB na Masters Yake au Masters Ya Sheria Inaitwa LLM. NYIE ndiyo MMEIFIKISHA NCHI HAPA ILIPO KWA UJINGA, UPUMBAVU na ELIMU HII MBOVU na MBAYA! Unatetea UJINGA badala tu Ya Kumrekebisha -------- Mwenziyo? Na Kwa Upuuzi Wenu huu hata Hamna Sifa za Kuwa Wanajeshi Kwani MTAIPELEKA NCHI KUBAYA na Nimjuavyo CDF General Mwamnyange Senior Millitary Intelligence Hawezi KUKUBALI UCHAFU na UOZO Huu wa WANAOJIITA Wasomi wa Hali Ya Juu na Darasa La Saba, Form Four na Form Six bila Kusahau na Wenye Diploma ndiyo Wataendelea Kuaminika na Kupata Ajira Upesi Kwani Huwa Wako Very Loyal na Commited.
 
Mkuu inaonekana wewe utakuwa ulifell kozi ya jeshi kama sikosei. Yaani umeongea kitu ambacho kwanza hujaonesha source yako imetoka wapi na hiyo research sijui uliifanya mwenyewe au laa!
Kama vip naomba ueleze shughuli zinazofanyika jeshini kama vile mambo ya logistic, usuluhishaji wa kesi kwenye mahakama za kijeshi huwa zinafanywa na watu gani. Unajua wewe unajiona kwamba umesoma kuliko hao wanajeshi lakini kumbuka kuna vitengo ambavyo jeshini ukipewa huwezi kumudu halafu usipende kuhukumu kitu ambacho huna uhakika nacho. Umethibitisha vip kwamba anayefukuzwa TMA sababu ni kuwa na elimu kubwa?
Kumbuka jeshi ni tofauti na taasisi zingine ndiyo maana kuna kitu wanaita kutii amri kama wewe uliingia na degree yako ukajiona ndo wewe matokeo yake ndo hayo unafukuzwa kwa utovu wa nidhamu.
Kwa msomi conservative lazima atashindwa tu maana akiambiwa kwenye parade ahesabu moja-mbili-tatu-moja yeye atalazimisha kusema nne kwa madai kwamba anajua hesabu but kijeshi inakuwa haiko hivo.
Ushauri kwako tu naona bora upige kimya kama jeshi hulijui na kama ulifukuzwa jeshi basi fanya michongo mingine usipige majungu.

mkuu uko poa sana unajua nn unachoandika wape darasa
 
Ukiangalia mfumo mzima wa ajira utabaini yafuatayo
1. Waalimu waliopo vyuoni 90% ni kikwazo kwa wasomi wengi wanaojiunga na jeshi hilo, akitokea mwanafunzi mwenye elimu kubwa hata Phd watafanya kila mbinu wamfukuze kwa kisingizio cha utovu wa nidhamu au watacomment kuwa kafeli.

2. Trainning zao hazija base kutafuta vipaji vya kweli katika nyanja muhimu kitaifa, kama vile madaktari, Eng, nk. Mfano Nyumbu mpaka leo wameshindwa kuifanya iwe ya kizalishaji toka enzi za mwalimu. Lugalo mpaka leo hawana hata blood bank sababu wanasayansi tiba hawapo ndio maana wanashindwa kukabiliana na migomo ya MH, sababu huko wengi 80% ni AMO na CO.

3. TMA ni kikwazo kikubwa sana katika kuwapata wasomi wazuri ndani ya jeshi hilo, elimu ya rasilimali watu kwa waalimu inawezekana ikawa ni issue. So they are trying to reduce the number of students kwa visingizio vya nidhamu ambayo ukifuatilia kiundani sio nidhamu as such but ni kutojua ubaya wakumfundisha mtu at certain level na kumwachisha mafunzo. HILO N BOMU BAADAYE.

4. Mazingira dhaifu kuwawezesha wenye vipaji kubuni kwa uhuru na kutumia taaluma zao, kufanya tafiti chanya maeneo yao ya kazi, mpaka leo hatujaziona.

5. Officer aliyetokea uraiani moja kwa moja I mean those who have got a little knowledge kuwa mkufunzi, atafundisha nini kama sio kupika majungu na kukosa comfidence?

Hayo machache yaliyobainishwa hapo juu ni chanzo kikubwa cha jeshi letu kuwa kama lilivyo hivi leo.
PHD YA NINI JESHINI,jeshi linataka wapiganaji siyo wasomi,kwanza wanaringa sana hata kubeba silaha kulinda zamu hawataki sasa wa nini jeshini watu wasiotaka kupewa amri na wengine eti hawakusoma kama wao,PHD tafuta chuo ukawa confuse vijana huko uraiani siyo jeshini kuleta haya majungu laiti ungekuwa jeshini kwa majungu haya ungekuwa umeshafukuzwa siku nyingi?.
 
Mbona hata marekani kuna wanajeshi wenye Phd na bado wanatii amri za wakubwa wao!!
 
PHD YA NINI JESHINI,jeshi linataka wapiganaji siyo wasomi,kwanza wanaringa sana hata kubeba silaha kulinda zamu hawataki sasa wa nini jeshini watu wasiotaka kupewa amri na wengine eti hawakusoma kama wao,PHD tafuta chuo ukawa confuse vijana huko uraiani siyo jeshini kuleta haya majungu laiti ungekuwa jeshini kwa majungu haya ungekuwa umeshafukuzwa siku nyingi?.

ukweli mtupu
 
Nani amekwambia kuwa jeshini hakuna wasomi? au wewe ni aina ya wale ambao wanapenda kupayuka kwenye mambo ambayo hawayaelewi [vijiweni wako wengi sana na hivi sasa JF imekuwa kijiwe chao na suala la rational thinkers halipo kabisa sana sana ninaona wameja' irrational thinkers' ambao kazi yao kubwa ni kubwabwaja tu.
 
PHD YA NINI JESHINI,jeshi linataka wapiganaji siyo wasomi,kwanza wanaringa sana hata kubeba silaha kulinda zamu hawataki sasa wa nini jeshini watu wasiotaka kupewa amri na wengine eti hawakusoma kama wao,PHD tafuta chuo ukawa confuse vijana huko uraiani siyo jeshini kuleta haya majungu laiti ungekuwa jeshini kwa majungu haya ungekuwa umeshafukuzwa siku nyingi?.

Jeshi linalokuja halitatumia virungu. Hivyo mwanajeshi asiye msomi hatakuwa na nafasi.
 
hayo ni matokeo ya kukosa nafasi ya kwenda cadet monduli ndo mnaanza kukandia,mbo.a wasomi kibao wako jeshin hadi maprof utawapata ukitaka.we na kidegree chako cha socialogy umekosan a fasi unapiga kelele unadhani kwenye usaili wanaangalia degree tu??,haya una Phd afu dam chafu,kifua butu,matege,huna uvungu,misuri imetika nje,sikosel,kifafa,mapele,kigugumiz,HIV,mapunye,n.k jeshi gani utaenda sasa hakuna mwanajeshi dizain hiyo .kwa hiyo elim sio kigezo we nenda tu kafundishe huko sio lazima uingie jeshini
 
Si kweli..., kama utaweza kupata ushahidi kwamba kuna senior officer kuanzia brig.gen kwenda juu mwenye elimu ya kimagumashi,,, naomba mods wanipe ban ya maisha,, maana hizo ndizo ngazi za maamuzi kijeshi.., ukipata hata mmoja tu kwa jeshi la sasa mm naomba ban ya maisha

Hivi JWTZ sare zao aka magwanda wanaagiza kutoka wapi vile?
Hata mafundi hawana?

Hawafanyi tafiti kuboresha ulinzi, unategemea nini?

Nchi kama Marekani, Ufaransa, Uingereza, majeshi yao yanabaadhi ya wanasayansi, wasomi. Wanatengeneza mabomu, silaha na zana za ulinzi.

Hapa kwetu Tanzania, mtu akitengeneza gobole ataishia Segelea au Keko.
 
we wa wapi??,unajifananisha na marekani na buingereza??,maendeleo haya rulionayo marekani walikuwa nayo miaka kama mia iliyopita.ntakuona zombi kama unajifananisha na mareka akati bajeti yao ya jeshi unganisha ulaya na china bado hawafiki.we wa wapi.tatizo unakariri
 
Wewe ndiyo unakariri. Utajiri wa marekani unatoka Afrika na nchi za mashariki ya kati!

Mbona sisi waafrika tupo masikini miaka nenda rudi?

Kwanini hatuendelei kama wenzetu?

Kwa maelezo yako, siku tukifikia walipo USA sasa hivi, wao watakuwa wamepiga hatua mbele sana (watakuwa wamehamia Mars?).

Inamaana tusubiri miaka mingine 100 kupata mwanya wa maendeleo waliyonayo USA sasa hivi?
 
Rais wa TAIFA kapitia jeshini. Kazi ya JESHI co kubeba mob na vji laptop. JESHI linahita watu we nye akili timamu na wanajua sababu ya wao kuwepo jeshini. PhD in yako
 
Hivi bado mnabishana? Kama huna patriotism huwezi jua ukweli....

Hivi mkiambiwa pale RMAS (Sandhurst) kuna instructor wa kitengo fulani ni m-TZ mtaamini au mtabeza? Endeleeni kudanganyana... Kumbuka siyo maeneo yote TZ wameweka siasa na ufisadi..
 
waaambie maaana wankariri,jeshini kuna vichwa nyie karirini tu.et kila kila kitu wenzetu marekani,mara uingereza,nani alikwambia wale n wenzako.
 
Back
Top Bottom