Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwani yeye ndo anawabebea silaha?NKUNDA , **** sana, jamaa ndio chanzo cha yote hayaa sababu alikubali kununulika, sasahivi ana buy time ,ili huyo mama aingize majeshi yake, waue waaandamanaji then wawashe mtandao
Mkuu, a military takeover is an extraordinary step. Unless one is power hungry, one doesn’t take it lightly, because it isn’t palatable in the international community. You take it only if you must. Tutafika huko watawala wakizidi kushupaza shingo na kulilazimisha Jeshi kufanya hivyo.Samia kakataliwa na Watanzania wote. Nchi imelipuka kwa fujo karibu kila sehemu. Watu wanakufa na kuuwawa na askari wa kigeni walioingizwa na Samia mwenyewe
Samia kakataliwa na Jumuiya yote ya Kimataifa. Leo hii hadi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katoa tamko kulaani yanayoendelea Tanzania. Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu limetoa tamko kulaani yanayoendelea. Vyombo vya habari vya Kimataifa vyote vinaripoti kwa siku 3 mfululizo mauaji na maandamano yanayoendelea Tanzania. Bunge la Umoja wa Ulaya limesema hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi Tanzania.
Labda niwaulize JWTZ. Nani anawazuia kuchukua Nchi? Mmerogwa au???
Hivi mkichukua nchi kwenye hali hii nani ataiwekea vikwazo Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Nani ataitenga Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Hamuoni kila mtu anawasubiri nyie kuchukua hatua? Hamuoni Wananchi wanavyowataka mchukue hatua??
Hamuoni hatua ya nyie kuchukua Nchi ndo itafanya Nchi iwe vizuri na ivuke vizuri kutokea hapa??
Embu tuambieni mnakwama wapi Wanajeshi wetu??? Nani kawaroga???
Hadi muda huu mlipaswa kuwa mmetangaza kuichukua nchi na mzuie huo upumbavu unaoendelea wa kutangaza matokeo yanayokataliwa na Dunia nzima.
Take Action. Acheni uzembee nyie watu.
Acha kuzunguka zunguka wewe. Kwwa yanayoendelea huoni kuwa Military takeover is necessary?Mkuu, a military takeover is an extraordinary step. Unless one is power hungry, one doesn’t take it lightly, because it isn’t palatable in the international community. You take it only if you must. Tutafika huko watawala wakizidi kushupaza shingo na kulilazimisha Jeshi kufanya hivyo.
Tuko kwenye constitutional quagmire. Bunge lingekuwa hai tungelilazimisha limng’oe Rais immediately. Unfortunately mtu wa kulirudisha Bunge ni huyo huyo ambaye ni sehemu ya problem. She won’t do it.
Kwa sasa option ya kiraia ambayo inafaa ni kujiuzulu kwa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mpigo. Hapo constitutional line of succession yote itakuwa imefutika. Hiyo itatupa some leeway to install a handpicked wiseman to assume the presidency on an interim basis.
Tuwaonye Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwamba huu ndio wakati sahihi wa kuachia ngazi kwa hiari. Wakisubiri hali iwe mbaya zaidi mpaka Jeshi lilazimike kujitwalia madaraka, hatutakuwa na utani. Tutawashughulikia barabara. They’ll regret it!
Uko sahihi! Hatuhitaji Jeshi, tunahitaji serikali ya wananchi ya mpito kuturusha kwenye hii crisis!Mkuu, a military takeover is an extraordinary step. Unless one is power hungry, one doesn’t take it lightly, because it isn’t palatable in the international community. You take it only if you must. Tutafika huko watawala wakizidi kushupaza shingo na kulilazimisha Jeshi kufanya hivyo.
Tuko kwenye constitutional quagmire. Bunge lingekuwa hai tungelilazimisha limng’oe Rais immediately. Unfortunately mtu wa kulirudisha Bunge ni huyo huyo ambaye ni sehemu ya problem. She won’t do it.
Kwa sasa option ya kiraia ambayo inafaa ni kujiuzulu kwa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mpigo. Hapo constitutional line of succession yote itakuwa imefutika. Hiyo itatupa some leeway to install a handpicked wiseman to assume the presidency on an interim basis.
Tuwaonye Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwamba huu ndio wakati sahihi wa kuachia ngazi kwa hiari. Wakisubiri hali iwe mbaya zaidi mpaka Jeshi lilazimike kujitwalia madaraka, hatutakuwa na utani. Tutawashughulikia barabara. They’ll regret it!
Uko sahihi! Hatuhitaji Jeshi, tunahitaji serikali ya wananchi ya mpito kuturusha kwenye hii crisis!
Tabia ya JESHI ni moja tu, wakichukua nchi wananchi na serikali wote TUMESHINDWA! Na jeshi likichukua nchi HUWA HAIJULIKANI LINI WATAIREJESHA na hakuna mtu ataongea kitu!
Wananchi wanaweza kusema utawala wa Samia umesitishwa?Uko sahihi! Hatuhitaji Jeshi, tunahitaji serikali ya wananchi ya mpito kuturusha kwenye hii crisis!
Tabia ya JESHI ni moja tu, wakichukua nchi wananchi na serikali wote TUMESHINDWA! Na jeshi likichukua nchi HUWA HAIJULIKANI LINI WATAIREJESHA na hakuna mtu ataongea kitu!
Unaona kiongozi wa kuachia ngazi pale ccm bila kushurutishwa?Mkuu kama ni hivyo basi kwa nini hao viongozi waaiachie ngazi tujue moja??Hawana huruma kabisaa na wananchi hata kidogo...
Kinowazuia JWTZ ni kwamba Amiri Jeshi Mkuu ameagiza wanajeshi wote wafungiwe kwenye makambi yao na asitoke mtu, kwani amepoteza imani na JWTZ. Pia maghala ya kuhifadhia silaha yapo yalindwa na wanajeshi wanomtii Amiri Jeshi Mkuu hivyo ukionekana wataka kuvamia ghala ni kulengwa shabaha tu.Samia kakataliwa na Watanzania wote. Nchi imelipuka kwa fujo karibu kila sehemu. Watu wanakufa na kuuwawa na askari wa kigeni walioingizwa na Samia mwenyewe
Samia kakataliwa na Jumuiya yote ya Kimataifa. Leo hii hadi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katoa tamko kulaani yanayoendelea Tanzania. Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu limetoa tamko kulaani yanayoendelea. Vyombo vya habari vya Kimataifa vyote vinaripoti kwa siku 3 mfululizo mauaji na maandamano yanayoendelea Tanzania. Bunge la Umoja wa Ulaya limesema hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi Tanzania.
Labda niwaulize JWTZ. Nani anawazuia kuchukua Nchi? Mmerogwa au???
Hivi mkichukua nchi kwenye hali hii nani ataiwekea vikwazo Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Nani ataitenga Tanzania kwa Jeshi kuchukua nchi?? Hamuoni kila mtu anawasubiri nyie kuchukua hatua? Hamuoni Wananchi wanavyowataka mchukue hatua??
Hamuoni hatua ya nyie kuchukua Nchi ndo itafanya Nchi iwe vizuri na ivuke vizuri kutokea hapa??
Embu tuambieni mnakwama wapi Wanajeshi wetu??? Nani kawaroga???
Hadi muda huu mlipaswa kuwa mmetangaza kuichukua nchi na mzuie huo upumbavu unaoendelea wa kutangaza matokeo yanayokataliwa na Dunia nzima.
Take Action. Acheni uzembee nyie watu.
Sasa what is our way forward?na hao JWTZ watafungiwa Hadi lini?Hawa wanao Linda raia wametoka wapi?Kinowazuia JWTZ ni kwamba Amiri Jeshi Mkuu ameagiza wanajeshi wote wafungiwe kwenye makambi yao na asitoke mtu, kwani amepoteza imani na JWTZ. Pia maghala ya kuhifadhia silaha yapo yalindwa na wanajeshi wanomtii Amiri Jeshi Mkuu hivyo ukionekana wataka kuvamia ghala ni kulengwa shabaha tu.
Ndo maana akaamua pia kuagiza wanajeshi wa kukodi kutoka Uganda na nchi zingine ambazo hazijataka kutangazwa.
Taarifa za kijasusi zadai kuwa mzee M7 kwa muda wote alokaa madarakani ametengeneza vikosi vipatavyo 10,000 kwa wenye mafunzo ya hali ya juu na hutoa kiasi fulani vya vikosi hivyo kwenda kwenye shughuli maalum kama ile ya Uchaguzi wa Kenya na sasa yadaiwa katoa vikosi hivyo kwenda Tanzania na wapo kila mkoa wenye dalili za vurugu pamoja na kulinda sehemu nyeti likiwemo jengo la Bunge Dodoma.
Nnchi imebadilika tangia jumatano ilopita na haitakuwa ile Tanzania tunoifahamu miaka yote.
Yasemwa walolinda raia si JWTZ khasa ila ni sehemu ya jeshi maalum.Sasa what is our way forward?na hao JWTZ watafungiwa Hadi lini?Hawa wanao Linda raia wametoka wapi?
Amiri jeshi mkuu ni Samia, so wanaomtii ndio wanatulinda?na kama ni wanao mtii MKUNDA , kwa nini awafungie nusu Kisha awaache nusu?Yasemwa wanolinda raia ni wale wanomtii Amiri Jeshi Mkuu.
Kwa kwei hali ya kiusalama si nzuri kwani wanajeshi halisi ni vigumu kuwatambua.Amiri jeshi mkuu ni Samia, so wanaomtii ndio wanatulinda?na kama ni wanao mtii MKUNDA , kwa nini awafungie nusu Kisha awaache nusu?
Huyo mnadhimu ana nguvu kiasi gani? Anaweza kuwazuia raia milioni 60?Ni Kwa sababu discipline master wao- yaani munadhim mkuu wa JWTZ ni wa visiwani, classmate wa kombo aliyekana kwamba hakuna mauwaji. Damu nzito… wanamlinda dada yao… ndio sababu ya kigugumizi chao