Hii ya wanajeshi kufungiwa makambini kukiwa na viongozi wazalendo wanaweza kukiuka hii amri.
Hii nchi Tanganyika ikikombelewa, itabidi kwenda tena Uganda kuikomboa kumtoa M7 na Muhoozi, ili wasiwe tatizo tena kwa Tanzania. Hasa huyu dogo Muhoozi anaweza kuja kuwa tatizo kubwa huko mbeleni kwa Tanzania na nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki akichukua uongozi wa Uganda baada ya Baba yake kuvuta kamba.
Wanajeshi wawawekee chini ya Ulinzi CDF, Chief of Staffs ikiwezekana viongozi wote muhimu wa juu wa jeshi na kuchukua nchi.