Mbona sioni mtu akisema tunaomba ushaidi wa picture!
Unaweza vunjwa wewe na kamela yako
tunaombea iwe kama unavyosema mkuu but mbona sijasikia kama anatafuta nchi ya kukimbilia!msiogope wakuu. Wanajeshi kibao hawamsapoti jamaa. Acha wale mazoezi ya viungo kwa ajili ya afya lakini JK kama anategemea msaada wa jeshi ajue ameula wa chuya. Jamaa wanataka kumwonyesha wako pamoja naye ili kumjengea hope na baadae wamtose apatwe na presha.
Kheeee heee heeee...Eeeh!
Kama yesu.....samahani hivi wanajeshi wa tz wanatokea nchi gani?
Kwani unazana au ile manati yako...wana-tisha tu hata wao wanapingika kwani huju mishahara yako...mara ngapi tuna pishana nao wanapeleka kwa fundi viatu vya kazi(Buti), je ni kweli na kubali kuwa piga baba zao,mama,shangazi, wajomba, ndugu zao kisa kumfurahisha kikwete sitaki kuamini hivyo....kama ni hivyo basi na sisi ngoja tuanze mazoezi
Hehehe washapewa AMRI
hakuna wa kukataa wala kuhoji.
Naona mkulu anatumia kofia yake ambayo hawezi kujiuzulu nayo...
Katika hali ya kushangaza wanajeshi wa JWTZ wapo kwenye mazoezi makali, mithili ya yale ya FFU, bila shaka kujiandaa kwa kupambana na watakaopinga matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kuchakachuliwa kwa kura. Nimewashuhudia mimi mwenyewe pale Lugalo leo. Kwa kawaida mazoezi ya aina ile hufanywa na FFU. Kunani? Au ndio maelekezo ya Shimbo kutoka CCM?