Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwa hivyo mumeangamiza ADF? ADF bado ipo na sijui mnatoroka kwa nini ilhali hamjamaliza kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba wametoroka, wanakwenda wengine tena.Kwa hivyo mumeangamiza ADF? ADF bado ipo na sijui mnatoroka kwa nini ilhali hamjamaliza kazi.
Tilikwenda kwa ajili ya M23, ADF tuliombwa kubaki kutokana na utendaji wetu mzuri ndipo UN wakatupmba kubaki wakati Malawi na South Africa walirudi, bado tupo, hao wamebadishana na wengineKwa hivyo mumeangamiza ADF? ADF bado ipo na sijui mnatoroka kwa nini ilhali hamjamaliza kazi.
Walipigwa mapanga ikabidi wanajeshi wa nepal waje kuwaokoa. Kwa masaa chache watoto wa DRC walilisha wanajeshi 17 wa JWTZ mapanga. Hadi leo 10 hawajapatikana. Kutoka hiyo siku hawa walikuwa wanalindwa na wanjeshi wa nepal.Failures walio pigwa mapanga na child soldiers wa Congo, historia iko wazi tu[emoji28][emoji23][emoji23], mnajitekenya na kucheka eti, juzi juzi tu wana mgambo wa Mozambique wamewaibisha mtaongelea aje Al shabaab wanao tumia technology with M16s n missiles, na warriors wa South Sudan?., kule Congo rebels ni watoto wamelazimishwa kupigana, kisha unapiga kifua eti mmeshinda vita kumbe ni watu wenye silaha hafifu, rebels wenye mapanga na ak za mbao ndio mpinzani[emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] ., get a life nanii, mko idle sana [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna classmate wangu nae aliiuwa katika hiyo team ya waliorudi..weekend hii kanialika tukale nyama choma, pesa ya mission ndo tumeanza kuitafunaHongereni brothers and sisters, sasa karibuni home. Mkipata kibunda tutafutane maeneo yetu yale
Lile jidege lipo kwaajili ya kuwapeleka mission ila kurudi ni mwendo drimulaina au airbasi😂Hivi jw hawana jidege kubwa la kubebea wajedinho, lenye rangi ya bakabaka😂
Exactly, honest point.Nazan kabla ya kusifia sana taasisi kama jeshi,ni bora usome na uone kazi zao wakiwa in action ndo utapata majibu, Jaribu Jaribu kuangalia JWTZ ilivyooenda kuongoza Kuwatoa waasi wa comorros kizembe, no body armours, no life jackets, no drone za kuona upande wa pili, no amphibious vehicles za kuwapeleka upande wa pili vizur,and walikua armed kawaida sana,walikua too exposed, kama wale waasi wa comorros wangalikua na training nzur,na wangejipanga along ile landing Zone Yao vizur, ingekua ni d-day nyingine,hali ingekua mbaya, At least ukiangalia Kenya walivyocheza na Alshababi na equipments walizokuwa wanatumia, kwa mtazamo wangu walikuwa way better kuliko sisi tulioenda comorros.
Wanapenda kusifu what they don't have or even know, kazi ni kuropokwa ovyo ovyo bila kufikiria.Walipigwa mapanga ikabidi wanajeshi wa nepal waje kuwaokoa. Kwa masaa chache watoto wa DRC walilisha wanajeshi 17 wa JWTZ mapanga. Hadi leo 10 hawajapatikana. Kutoka hiyo siku hawa walikuwa wanalindwa na wanjeshi wa nepal.
Bro kuna battle na war, I understand politics za DRC, zilianza kabla tuzaliwe and are deep seated, Vita pale pia Uganda wanao piga kifua eti the best in EAC waliumbuliwa na Rwanda kwa open battle, walipopatana in opposite sides pale DRC, Army to Army, symmetrical combat sio Kama nyinyi assymetrical combat na rebels yenye polisi wa kawaida wanaeza jikaza na kushinda mlionyeshwa kivumbi wakati mmoja. Juzi hapa Mozambique aibu tena ikatokea, serikali ilibana kutangazwa kwa hali ilivyo kua, yaani aibu kwa taifa, mkajikaza kufuta aibu mwishowe[emoji23][emoji23].,Acha kuongea vile vitu huvijui, Congo DRC ni battlefield ya majeshi ya Rwanda na Uganda kwa support ya mabeberu. Ukijua hili utagundua post yako haina facts.
We don't have a reason to fight al Shabaab.After such a heroic and brilliant performance of our JWTZ, the time is due to help our noisy neighbours from the lethal claws of Al Shabab. If things go unchecked, all signs point irresistibly to the possibility of Al Shabab demarcating a Kenyan area neighbouring Somalia and form a state of their own. Different sources speaking on a condition of anonymity have revealed that, Kenya is pleading with USA in order not to withdraw it's forces in Somalia, meanwhile, Kenyan authorities are on their knees requesting assistance of Tz "
Al shabaab are now collecting taxes in Mandera.I don't know what people are celebrating here.. rotation ya vikosi ni kitu cha kawaida .There have been around 9 rotations in Somalia sector ii since 2012.Kdf 10th battle group ndo wanaenda kumaliza kazi Somalia ...wakiongozwa na brigadier Nyaga ambaye sasa ndiye atakuwa Amisom sector ii commander.
Brigadier Nyaga was involved in the first move into somalia.. then as a Lt Col.
He has gone to finish what he started.
Hio ni propaganda tu .Al shabaab are now collecting taxes in Mandera.