Nazan kabla ya kusifia sana taasisi kama jeshi,ni bora usome na uone kazi zao wakiwa in action ndo utapata majibu, Jaribu Jaribu kuangalia JWTZ ilivyooenda kuongoza Kuwatoa waasi wa comorros kizembe, no body armours, no life jackets, no drone za kuona upande wa pili, no amphibious vehicles za kuwapeleka upande wa pili vizur,and walikua armed kawaida sana,walikua too exposed, kama wale waasi wa comorros wangalikua na training nzur,na wangejipanga along ile landing Zone Yao vizur, ingekua ni d-day nyingine,hali ingekua mbaya, At least ukiangalia Kenya walivyocheza na Alshababi na equipments walizokuwa wanatumia, kwa mtazamo wangu walikuwa way better kuliko sisi tulioenda comorros.