JWTZ wakamilisha kazi mashariki mwa DRC na kuagwa kwa heshima kubwa

Hivi jw hawana jidege kubwa la kubebea wajedinho, lenye rangi ya bakabakašŸ˜‚
 
Kwa hivyo mumeangamiza ADF? ADF bado ipo na sijui mnatoroka kwa nini ilhali hamjamaliza kazi.
Tilikwenda kwa ajili ya M23, ADF tuliombwa kubaki kutokana na utendaji wetu mzuri ndipo UN wakatupmba kubaki wakati Malawi na South Africa walirudi, bado tupo, hao wamebadishana na wengine

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
FPU tupo hapa tunakula hela za UN kwa kazi nyepesi nyepesi tu.
 
Walipigwa mapanga ikabidi wanajeshi wa nepal waje kuwaokoa. Kwa masaa chache watoto wa DRC walilisha wanajeshi 17 wa JWTZ mapanga. Hadi leo 10 hawajapatikana. Kutoka hiyo siku hawa walikuwa wanalindwa na wanjeshi wa nepal.
 
I don't know what people are celebrating here.. rotation ya vikosi ni kitu cha kawaida .There have been around 9 rotations in Somalia sector ii since 2012.Kdf 10th battle group ndo wanaenda kumaliza kazi Somalia ...wakiongozwa na brigadier Nyaga ambaye sasa ndiye atakuwa Amisom sector ii commander.
Brigadier Nyaga was involved in the first move into somalia.. then as a Lt Col.
He has gone to finish what he started.
 
Kutoka mwaka 2015 wanajeshi wa JWTZ wamekuwa wakifa kila mwaka. 2020 ikabidi Magu mwenyewe aongee kwa kushangazwa na mauaji ya wanajeshi wake.
Ilibidi wanajeshi wa JWTZ waekwe chini ya wanjeshi wa nepal kutoka mwaka 2019 ili wapone makali ya watoto wa DRC ma wanamgambo kutoka Uganda.
 
Most Elite Special Forces Around The World.

These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.

Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces. Please keep in mind that this list is in no particular order.

Tanzanian Special Forces In Congo.

 
Nazan kabla ya kusifia sana taasisi kama jeshi,ni bora usome na uone kazi zao wakiwa in action ndo utapata majibu, Jaribu Jaribu kuangalia JWTZ ilivyooenda kuongoza Kuwatoa waasi wa comorros kizembe, no body armours, no life jackets, no drone za kuona upande wa pili, no amphibious vehicles za kuwapeleka upande wa pili vizur,and walikua armed kawaida sana,walikua too exposed, kama wale waasi wa comorros wangalikua na training nzur,na wangejipanga along ile landing Zone Yao vizur, ingekua ni d-day nyingine,hali ingekua mbaya, At least ukiangalia Kenya walivyocheza na Alshababi na equipments walizokuwa wanatumia, kwa mtazamo wangu walikuwa way better kuliko sisi tulioenda comorros.
 
Exactly, honest point.
 
Walipigwa mapanga ikabidi wanajeshi wa nepal waje kuwaokoa. Kwa masaa chache watoto wa DRC walilisha wanajeshi 17 wa JWTZ mapanga. Hadi leo 10 hawajapatikana. Kutoka hiyo siku hawa walikuwa wanalindwa na wanjeshi wa nepal.
Wanapenda kusifu what they don't have or even know, kazi ni kuropokwa ovyo ovyo bila kufikiria.
 
Acha kuongea vile vitu huvijui, Congo DRC ni battlefield ya majeshi ya Rwanda na Uganda kwa support ya mabeberu. Ukijua hili utagundua post yako haina facts.
Bro kuna battle na war, I understand politics za DRC, zilianza kabla tuzaliwe and are deep seated, Vita pale pia Uganda wanao piga kifua eti the best in EAC waliumbuliwa na Rwanda kwa open battle, walipopatana in opposite sides pale DRC, Army to Army, symmetrical combat sio Kama nyinyi assymetrical combat na rebels yenye polisi wa kawaida wanaeza jikaza na kushinda mlionyeshwa kivumbi wakati mmoja. Juzi hapa Mozambique aibu tena ikatokea, serikali ilibana kutangazwa kwa hali ilivyo kua, yaani aibu kwa taifa, mkajikaza kufuta aibu mwishowe[emoji23][emoji23].,
 
We don't have a reason to fight al Shabaab.
 
Al shabaab are now collecting taxes in Mandera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…