JWTZ wakamilisha kazi mashariki mwa DRC na kuagwa kwa heshima kubwa

Tulia JWTZ ije kuwasaidia kumaliza Al-shaabab cz wanawake kdf wameshindwa.
 
Tulia Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lije kuwasaida kumaliza Al-shaabab cz Kenya Dumb Force (KDF) limeshindwa.
 
Wooiii naona ukweli ushaanza kuchukua nafasi yake, mkuu ipeleke na kule waumie vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

My Take: Africa tuko pekeetu, naomba msiumie jirani.
 
Leta ushahidi km walienda kizembe, we mpumbavu kweli wewe yn uende vitani kizembe, unaelewa maana ya vita wewe?
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wewe ni mkenya acha kuigiza kuwa ni mtz.
 
Nyinyi mlishindwa na watoto al shabaab mtawezana?
Nashangaa Sana kdf ,yaani kile kigenge Cha alshabab kinavyo wachezesha kwata kila siku.huwa mnajitapa humu mnavifaa bora,mala jeshi imara!! Kumbe majigambo yote ni bule kabisa.kenya defense force ni jeshi dhaifu kabisa hakuna ubishi hapo.alshabab they're torturing you day after day,mwisho wataanza kuoa dada zenu kwa nguvu ,kwa udhaifu wenu!!? after all kdf ni jeshi oga historically!! Kama alshabab wanawa pigisha kwata kwa Karne hii,je mngepigana na idd Amin dada enzi zile,nadhani muda huu tunapoongea Kenya mngekuwa under uganga empire chini ya Amin Dada!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehe, nendeni huko Somalia. Hakuna aliyewazuia majirani! 🤣
✌️
 
Kuwa na kumbukumbu vizuri, hao alshabab wa mozambique walifulumushwa tanga na kibiti ndio wakakimbilia msumbuji, unasemaje kuwa wamewashindwa?
 
Watoto wa DRC walitwanga JWTZ mpaka magu mwenyewe akashtuka. Huko msumbiji navy ya JWTZ walipigwa mpaka mashua yao ya kuvulia samaki ikalipuliwa. Wacha kujidanganya Al shabaab hamtawezana nao. Mapanga mlishindwa iwe makombora na bunduki?
 
Kdf yenu,ilijua kumikiki vifaa ndio kushinda vita[emoji23][emoji23][emoji23],Sasa ona missile,na ndege mnazo lakini alshabab wako na ak47 wanawa torture every day.
 
Kdf yenu,ilijua kumikiki vifaa ndio kushinda vita[emoji23][emoji23][emoji23],Sasa ona missile,na ndege mnazo lakini alshabab wako na ak47 wanawa torture every day.
Walishambuliwa na wanamgambo ndani ya nusu saa wakapoteza battalion nzima na ukumbuke walikuwa full loaded.
 
Walishambuliwa na wanamgambo ndani ya nusu saa wakapoteza battalion nzima na ukumbuke walikuwa full loaded.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…