JWTZ wakanusha ujumbe unasambaa mitandani wa kuhamasisha maandamano. Tutawachukulia hatua

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na Siasa kwa lengo la kupotosha Umma na kuzua taharuki.

Katika Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ Kanali Bernard Mlunga, Novemba 12,2025 limeutaka Umma kupuuza tangazo linaloonekana likisambaa mtandaoni lenye maudhui ya maandamano kuwa ni uzushi wenye lengo la kuadaa wananchi na kusababisha vurugu na uvunjifu wa Amani Nchini, hivyo lipuuzwe.

Taarifa hiyo imebainisha kuwa, JWTZ linaendelea kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaojihusisha na upotoshaji huo.

SnapInsta-Ai_3764980226368633009.jpg
SnapInsta-Ai_3764980226083394855.jpg
 
View attachment 3501304View attachment 3501303
Mbona Tangazo la jeshi lina picha ya mkuu wa Jeshi
 
Nyumbu wazee wa jeshi liko upande wetu tukiandamana tunaichukua nchi saa 3 Asubuhi bado zinaaminishana ujinga.

Nyumbu hazijawahi kuwa na akili ndo maana siku zote nyumbu ni chakula cha mamba
 
NGURUWE, mlivyo wapumbavu, bado mnategemea kuwa makombo ya Samia na Genge lake yataendelea kuwepo kuwanenepesha! Tambueni sasa kuwa wakati wenu wa kuwa kitoweo umewadia. Huyo mfugaji wenu hana uwezo tena wa kulazimisha kukaa madarakani kwa nguvu Hiyo mitutu anayo itegemea kuwaua waTanzania itageuziwa kwake na nyinyi nguruwe wake wote.
 
Duh! Aliyetengeneza hilo tangazo naona malengo yake ni nini, anyway ngoja tusuburi mwisho wake.
 
Taarifa feki ilisema jeshi la wananchi linapiga marufuku waandamanaji kubeba silaha wakiwa kwenye maaandamano.

Taarifa hii ilikuwa inawahimiza wananchi wasifanye vurugu kwa kubeba silaha za kujihami.

Sasa Press release ya JWTZ inakanusha kuwa haihusiki bila kuangalia athari ya kanusho lao inatoa ruhusa kwa wananchi kubeba silaha za kujihami wakiwa kwenye maandamano
 
katika ulimwengu huu wa sasa mtakanusha vingapi?
konhilo nalo bango lilikua na haja gani ya kukanusha ilihari linajionesha wazi kabisa kua ni ediiting?

muwage mnajiongeza na nyie kwaiyo kesho wakiedit lingine tena mnatoka kukanusha?
 
Back
Top Bottom