Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbona Tangazo la jeshi lina picha ya mkuu wa JeshiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na Siasa kwa lengo la kupotosha Umma na kuzua taharuki.
Katika Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ Kanali Bernard Mlunga, Novemba 12,2025 limeutaka Umma kupuuza tangazo linaloonekana likisambaa mtandaoni lenye maudhui ya maandamano kuwa ni uzushi wenye lengo la kuadaa wananchi na kusababisha vurugu na uvunjifu wa Amani Nchini, hivyo lipuuzwe.
Taarifa hiyo imebainisha kuwa, JWTZ linaendelea kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaojihusisha na upotoshaji huo.
View attachment 3501304View attachment 3501303
NGURUWE, mlivyo wapumbavu, bado mnategemea kuwa makombo ya Samia na Genge lake yataendelea kuwepo kuwanenepesha! Tambueni sasa kuwa wakati wenu wa kuwa kitoweo umewadia. Huyo mfugaji wenu hana uwezo tena wa kulazimisha kukaa madarakani kwa nguvu Hiyo mitutu anayo itegemea kuwaua waTanzania itageuziwa kwake na nyinyi nguruwe wake wote.Nyumbu wazee wa jeshi liko upande wetu tukiandamana tunaichukua nchi saa 3 Asubuhi bado zinaaminishana ujinga.
Nyumbu hazijawahi kuwa na akili ndo maana siku zote nyumbu ni chakula cha mamba
Naona semenya unatema yai tu la malkia.Watatoa milio yote hadi yakujamba mbrrrrrrr.
Count down to 9D
It's not until you fall that you fly. When your dreams come alive you're unstoppable!
WE'LL DREAM IT POSSIBLE MAAAMAE!
View attachment 3501307