JWTZ wakanusha ujumbe unasambaa mitandani wa kuhamasisha maandamano. Tutawachukulia hatua

Tabia ishaota mzizi ndio mnataka kuikata hii walitakiwa kukanusha since mange alivyo anza kuaminisha uma kuwa wapo pamoja na wananchi na sio sasa
 
Naona taswila na heshima ya jeshi letu iliyo jengwa kwa miaka mingi inavyo Anza kuchafuka kwa njaa ya siku chache Sana
 
JWTZ linaendelea kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaojihusisha na upotoshaji huo.
Mbona hili jeshi linajihusisha na kuhangaika na mambo dhaifu na kuacha yale ya msingi na ambayo ndio jukumu lake?

Ilipaswa kama Jeshi la ulinzi wa wananchi waoneshe kivitendo uwajibikaji na umahiri wao wa kumlindà mwananchi pale alipokuwa anapigwa risasi 29/10 na sii vinginevyo.
 
Kuna mwanajeshi aliwahi kuniambia kuwa mafunzo ya jeshi ni makali sana kuliko ya polisi na mwanajeshi mmoja ni sawa na polisi miamoja kiuwezo Kwa kila nyanja.Niliyoyashuhudia siku ya 29/10/2025 nimethibitisha kuwa huyo mwanajeshi alinidanganya.Kwa Sasa bora jeshi la mgambo liitwe jeshi la wananchi na hawa tukawaita jeshi la kuzoa takataka barabarani maana huwa linatumiwa kufagia takataka barabarani.
 
Huyu nguruwe Lucha ni demu wa Abdul ndiyo maana anajiona naye ni Royal family kwa vile anakojolewa na Abdul .
 
Tunajua huko kwao kumetoboka na kunavuja
 
Kuna baadhi ya taarifa zikisambaa, hakuna haja ya taasisi husika kutoka na kulitolea ufafanuzi au kulikanusha.

Hilo tangazo limekaa kuandikwa na mtoto wa darasa la tano.
 
mara paap na hili Tangazo pia linakanushwa na Jeshi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…