Naomba vita ije wapambane na say USA🤫😭😳🥱🤔🤭😊🤨🧐🤫Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda mda wao walimaliza tarehe 9.
Nikiangalia naona kinyume chake yani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao.Ilitakiwa polisi ndio walinde hizo ofisi.
Unawasifia watu wasio na marinda?Wamewakamata kunako. Mlitaka kufanya ushenzi wa kuiba mali za watu na kuharibu huduma za kijamii. Mbuzi nyie.
Kama vidume kweli jichanganyeni muone
Duuuhukute polisi huwa wanawafila kabisa hao Jwtz
Wabadilishiwe majukum mana porini wanavuta bange tu hawana kaz za kufanya kuleHii kazi wangefanya kila siku ingekuwa poa... mtaani kwetu vibaka hakuna 😂😂😂😂
Msijali Nyumbu jeshi lote liko upande wenu tokeni muandamane kapten tesha kasema ole wake polisi atakaemgusa raia, kwahiyo nyumbu tokeni mchukue nchi jeshi linawasubiri nyie tu
Unachamba, dalili za stressWamewakamata kunako. Mlitaka kufanya ushenzi wa kuiba mali za watu na kuharibu huduma za kijamii. Mbuzi nyie.
Kama vidume kweli jichanganyeni muone
Sasa mtu anaishabikia CCM ataachaje kuwa tapeli unafkiri.