Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nyie vijana rukiwaita wajinga na wapumbavu mnapanic.
Ni lini ujinga utawatoka vichwani mwenu?
Ni lini ujinga utawatoka vichwani mwenu?
Hawa vijana ni Matahira kweli kweli.Msijali Nyumbu jeshi lote liko upande wenu tokeni muandamane kapten tesha kasema ole wake polisi atakaemgusa raia, kwahiyo nyumbu tokeni mchukue nchi jeshi linawasubiri nyie tu
Ukiunganisha nukta, kutoka ile kauli ya mafwele kwamba anawashikilia wanajeshi uko kituoni na fununu kwamba wanaokamatwa wakifikishwa uko kwenye interrogation huwa wanafirwa. Uenda ulichokiandika kinaweza kuwa kweliukute polisi huwa wanawafila kabisa hao Jwtz
Soon, Kagame atatawala Kijeshi eneo lote hili la Maziwa MakuuHii kazi wangefanya kila siku ingekuwa poa... mtaani kwetu vibaka hakuna 😂😂😂😂
😀ukute polisi huwa wanawafila kabisa hao Jwtz
Nchi bado iko katika hali ya Hatari kimya kimya. Mambo mengine ni bola hata msiyajue
Mkuu Hayo ndio mashoga yenyewe ya JFUnawasifia watu wasio na marinda?
Popobawa Nimefika na nitawashughulikia.Mkuu Hayo ndio mashoga yenyewe ya JF
Yaani umeandika comment ambayo nilikuwa nimepanga kum reply huyo mshikaji.Ukiunganisha nukta, kutoka ile kauli ya mafwele kwamba anawashikilia wanajeshi uko kituoni na fununu kwamba wanaokamatwa wakifikishwa uko kwenye interrogation huwa wanafirwa. Uenda ulichokiandika kinaweza kuwa kweli