JWTZ wamekuwa walinzi wa ofisi na biashara

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda muda wao walimaliza tarehe 9.

Nikiangalia naona kinyume chake yaani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao. Ilitakiwa polisi ndio walinde hizo ofisi.
 
Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda mda wao walimaliza tarehe 9.

Nikiangalia naona kinyume chake yani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao.Ilitakiwa polisi ndio walinde hizo ofisi.
Naomba vita ije wapambane na say USA🤫😭😳🥱🤔🤭😊🤨🧐🤫
 
Msijali Nyumbu jeshi lote liko upande wenu tokeni muandamane kapten tesha kasema ole wake polisi atakaemgusa raia, kwahiyo nyumbu tokeni mchukue nchi jeshi linawasubiri nyie tu
 
Wamewakamata kunako. Mlitaka kufanya ushenzi wa kuiba mali za watu na kuharibu huduma za kijamii. Mbuzi nyie.

Kama vidume kweli jichanganyeni muone
Unachamba, dalili za stress
 
Unapomdharau, kumdhihaki na kumtukana Mtu ambaye hakujibu. Uzoefu unaonesha atakujibu kwa vitendo. Muda ni Hakimu mzuri📍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…