[TABLE="width: 972, align: center"]..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.
..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.
..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.
habari nzima soma hapa: Home
habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission
cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

[TABLE="class: cms_table, width: 972, align: center"]Kumbe sisi ndo twawafundisha. Basi ndo maana hawaleti chokochoko
| MR GEDION O AMALLA |
| BRIG CHRISTOPHER JOSEPH O ARRUM |
| MRS GRACE CERERE |
| BRIG KENNETH O DINDI |
| COL RASHID A ELMI |
| COL PHUMZILE FONGOQA |
| BRIG GEN JOHN GACINYA |
| COL NGUGI GIKONYO |
| MR MATHENGE GITONGA |
| CAPT TAIYE ABDUL IMAM |
| COL SOLOMON UMBA KALELI |
| BRIG SAMUEL KAVUMA |
| COL MARTIN AMOS KEMWAGA |
| MR IBRAHIM KHAMIS |
| MS GLADYS KINYUAH |
| MRS SARGUTA LEBISHOY KITUR |
| COL MOSES KAGISO LEKOKO |
| BRIG AARON ROBERT LUKYAA |
| MAJ (RTD) OMAR M MARSA |
| COL AYUB GUANTAI MATIIRI |
| COL G W MBITHI |
| COL PATRICK LUMUMBA MIJONI |
| COL EDMOND MITI |
| MR MOHAMED BARRE MUHUMED |
| COL EVERISTE MURENZI |
| COL KASILI MUTAMBO |
| MR CHARLES MUTHUSI |
| COL JOSUA N NAMHINDO |
| BRIG GEN CHOL BIAR NGANG |
| MR ROBERT MUTEGI NJUE |
| COL BENSON MUTHUI NZILU |
| COL INNOCENT G OULA |
| BRIG GEN GATWECH YIECH RUOM |
| COL GABRIEL SABUSHIMIKE |
| COL ALOYS SINDAYIHEBURA |
| COL CHISICHENYU SINGIZI |
| STAFF BRIG TAWFIK AHMED TAWFIK |
| MR JAMES KIMUTAI TOO |
| MR SAMUEL MNDAVIKI WACHENJE |
| COL GEORGE ODHIAMBO WALWA |
| MS CATHERINE WAMBANI WEKESA |
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.
..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.
..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.
habari nzima soma hapa: Home
habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission
cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe
Haa!najua sio habari nzuri kwako hata kidogo, manake hupendi kabisa uhusiano uwe mzuri;kumbe ilikuwa mwanafunzi anatishia kumpiga master:becky:
Ninachojua ni kwamba JWTZ wamepata darasa Kenya mara kadhaa.
Darasa gani?
Fuatilia hii taarifa National Defence College -KENYA halafu humo uangalie Alumni kutoka JWTZ.
Kitu kinachoongelewa pia ni mambo ya kawaida...mfano naeza kuja somea kiingereza TZ ingawa Kenya pia kinafunzwaLakini haya ni mambo ya kawaida mbona.
Kwa mfano, wapo Waingereza waliosomea West Point na wapo Wamarekani waliosomea Sandhurst.
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.
..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.
..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.
habari nzima soma hapa: Home
habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission
cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe
Military exchange ni kitu cha kawaida hapa Tz National Defence College imeanza rasmi mwaka jana before that tumewah peleka maafisa kadhaa NDC Kenya kwa course fupi... si jambo la ajabu
mbona mleta uzi aliona kitu cha ajabu kuuleta eti JWTZ itawafunza majirani basi!