JWTZ yafundisha askari toka Kenya, Rwanda, na Uganda

Haa!najua sio habari nzuri kwako hata kidogo, manake hupendi kabisa uhusiano uwe mzuri;
Ila hii nikawaida sana hata askali wa Tanzania wanakuja huku kwa mafunzo mbalimbali, chuki zilizopo ni sababu ya watu binafsi, ila some of you mntaka kuonyesha kwamba ni uhasama wa nchi na nchi na kujaribu ku incite wa Tanzania yet nyie ni waNyaRwanda tu mliokimbilia huko;
ENGLISH – UMUSEKE – Rwanda Defense Forces Command and Staff College/Intake Two Launched

sawa tu chief. Uhusiano wetu Tanzania na Rwanda ni mzuri sana.:becky:
 
ukiona alumni yeyote ta tanzania iko katika nchi ya kigeni, basi ujue kuna mission za udukuzi za ki-intel zinafanyaka.. Tanzania has nothing to learn from anycountry in the field ya militarism.

ha ha hahaaaaaaaaaaaaa..,..................sinema ya bure hapa!!!!!!!
 
Tuwafundishe tu maana al shabab imekuwa shida
 
Bila mchango wa Tanzania hasa mafunzo ya ulinzi Kenya ingesha kwenda na maji siku nyingi.
 
Haya nyote mkakojoe mkalale ......hayo yote mloandika awali ni utumbo mtupu!!!!
 
..ni mafunzo ya Officer Cadet course ya mwaka mmoja inayotolewa Tanzania Military Academy, Monduli.

..zaidi ya askari toka CoW, nchi nyingine zilizofaidika na mafunzo toka kwa jeshi letu ni Seychelles, DRC, Mozambique, na Zimbabwe.

..habari hii inazima zile propaganda kwamba Tanzania ina mahusiano mabaya na majirani zake.

habari nzima soma hapa: Home

habari nyingine hii hapa:http://www.dailynews.co.tz/index.ph...congo-president-in-arusha-for-special-mission

cc lawmaina78, jMali, Ngongo, Nguruvi3, Bulldog, Kishimbe wa Kishimbe

So what?? Cha ajabu kipi hapo??
 
Bila mchango wa Tanzania hasa mafunzo ya ulinzi Kenya ingesha kwenda na maji siku nyingi.

Duh! Ngongo ile siku Kenya itakuja omba Tanzania msaada wa kijeshi hakutakalika huku kwa jinsi huwa mpo tayari kubeza. Ikiwa kwa mfano hamna ushahidi wowote Wakenya wamepata mafunzo yoyote kutoka kwa JWTZ na tayari mpo huku mkijishaua, ikatokea kweli si ndio mtalipua JF.

Juzi tu editor wa gazeti Mtanzania kataja kuhusu umuhimu wa Tanzania kuisaidia Kenya kwenye vita dhidi ya ugaidi, yaani hamkushikika jinsi uzi ulienda kurasa ishirini ndani ya masaa, ilhali hamna hata siku Kenya imeiomba Tanzania msaada wowote wa kijeshi. Yaani hata ukweli ni kwamba maafisa wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) ndo wamepata mafunzo Kenya.
 
Last edited by a moderator:
So what?? Cha ajabu kipi hapo??

..ni kitu cha ajabu kwangu.

..nimesoma kwenye rwanda newtimes kwamba Mama Salma Kikwete ni Mhutu, na kiongozi wa FDLR analala Ikulu ya Dsm.

..sasa nimeshangaa kusikia habari hizo kwamba JWTZ inatoa nafasi za mafunzo kwa wanajeshi wa Rwanda.

..ajabu!!

cc @GENTAMICYNE, jMali, lawmaina78, nyumba kubwa
 
So What? Mbona Ni Kawaida Mno Kijeshi? Mbona Na Wewe Askari Wako Huenda Mji Wa Gitarama Nchini Rwanda Kwa Mafunzo?

..ni jambo la kawaida lakini nani alikuwa anajua?

..nimeileta habari hii ile ku-balance habari mbaya zinazoandikwa dhidi ya Tz ktk magazeti ya wenzetu.

..kuna vyombo vya habari kama rwanda newtimes, the eastafrican magazine, na blog mbalimbali zimekuwa zikiwaaminisha wasomaji wao kwamba hakuna jema linaloweza kufanywa na Tanzania au Mtanzania.

..kwa mfano, kulikuwa na habari ya Tanzania kujitenga, na kutokuchangia chochote kile, ktk East Africa Standby Force. Sasa hailezwi kwamba Tanzania tayari tuko kwenye Souther African/SADC standby force, na zaidi imekuwa ikishirikiana ktk mafunzo na mazoezi ya pamoja na majeshi mbalimbali ya East Africa na Afrika kwa ujumla.

..lakini kitu cha ajabu, na ambacho sikukitegemea, ni reaction ya baadhi ya wachangiaji ambao ni ndugu zetu toka baadhi ya nchi majirani. michango yao inaonyesha kwamba wamekerwa sana na kitendo cha cadets wao kupata mafunzo toka kwa majeshi yetu.

cc mossad007, lawmaina78, waltham, Geza Ulole, Ab-Titchaz
 
Hao majirani kawaida yao tumewazoea .. nakushuru sana kwa ufafanuzi mzuri mkuu
 
bla bla bla nyingi.............hamna chochote kigeni hapo. vitu vya kawaida. labda vya kipekee kwako.
 
..ni jambo la kawaida lakini nani alikuwa anajua?

..nimeileta habari hii ile ku-balance habari mbaya zinazoandikwa dhidi ya Tz ktk magazeti ya wenzetu.

..kuna vyombo vya habari kama rwanda newtimes, the eastafrican magazine, na blog mbalimbali zimekuwa zikiwaaminisha wasomaji wao kwamba hakuna jema linaloweza kufanywa na Tanzania au Mtanzania.

..kwa mfano, kulikuwa na habari ya Tanzania kujitenga, na kutokuchangia chochote kile, ktk East Africa Standby Force. Sasa hailezwi kwamba Tanzania tayari tuko kwenye Souther African/SADC standby force, na zaidi imekuwa ikishirikiana ktk mafunzo na mazoezi ya pamoja na majeshi mbalimbali ya East Africa na Afrika kwa ujumla.

..lakini kitu cha ajabu, na ambacho sikukitegemea, ni reaction ya baadhi ya wachangiaji ambao ni ndugu zetu toka baadhi ya nchi majirani. michango yao inaonyesha kwamba wamekerwa sana na kitendo cha cadets wao kupata mafunzo toka kwa majeshi yetu.

cc mossad007, lawmaina78, waltham, Geza Ulole, Ab-Titchaz

Haya ni moja ya majivuno yasiyo na msingi yanayotolewa na watu wanaoshabikia wasichojua. Majeshi hayafundishwi kwa utaratibu wa vita vya kimasai kiasi kwamba eti, wazee wa kimila ndo wanakuwa waalimu. Majeshi hujifunza kwa teknolojia na ustadi wa kidunia. Mafunzo yanayotolewa Malawi yanatakiwa yafanane na mafunzo yanayotolewa Marekani katika cheo kimoja kilicho sawa.

Ni vivyo hivyo mafunzo yanayotolewa katika nchi tofauti za mfumo wa kisiasa kama vile Iran na Madagascar, North Korea na Caribbean n.k. yanafanana katika cheo kimoja chenye ngazi sawa.

Tofauti iliyopo kwenye majeshi si vyeo wala elimu ya kijeshi bali ni vifaa na teknolojia yake, ukubwa wa jeshi kutokana na nchi na malengo yake, uzoefu wa mapigano kutokana na maeneo yao ya kijografia, vurugu na upinzani wanaoutegemea!

Kwa mfumo huu, wanajeshi wanasoma popote duniani kwa kuwa ni mfumo mmoja wa uongozi na utendaji wa kijeshi. Ni hapa unapoona Mwanajeshi wa kiganda akimfundisha Mmarekani n.k. na si ajabu wakenya kusoma tz.

Ushabiki wa changu ni changu unaotokea ktk mitandao na kwenye vyombo vya habari unaanzishwa na watu wasiojua majeshi na ndio maana wanashabikia ujinga.
 
Last edited by a moderator:
..ni jambo la kawaida lakini nani alikuwa anajua?

..nimeileta habari hii ile ku-balance habari mbaya zinazoandikwa dhidi ya Tz ktk magazeti ya wenzetu.

..kuna vyombo vya habari kama rwanda newtimes, the eastafrican magazine, na blog mbalimbali zimekuwa zikiwaaminisha wasomaji wao kwamba hakuna jema linaloweza kufanywa na Tanzania au Mtanzania.

..kwa mfano, kulikuwa na habari ya Tanzania kujitenga, na kutokuchangia chochote kile, ktk East Africa Standby Force. Sasa hailezwi kwamba Tanzania tayari tuko kwenye Souther African/SADC standby force, na zaidi imekuwa ikishirikiana ktk mafunzo na mazoezi ya pamoja na majeshi mbalimbali ya East Africa na Afrika kwa ujumla.

..lakini kitu cha ajabu, na ambacho sikukitegemea, ni reaction ya baadhi ya wachangiaji ambao ni ndugu zetu toka baadhi ya nchi majirani. michango yao inaonyesha kwamba wamekerwa sana na kitendo cha cadets wao kupata mafunzo toka kwa majeshi yetu.

cc mossad007, lawmaina78, waltham, Geza Ulole, Ab-Titchaz

Mbona unaropoka tu kaka, nimekupa chamgamoto ulete angalau ushahidi mmoja kwamba wanajeshi wa Kenya wamepata mafunzo kutoka JWTZ, sasa umebaki kuzunguka zunguka tu huku ukitubeza na wenzio kwa taarifa za uwongo. Mimi nimekuonyesha hapo juu ushahidi kuwa askari wa JWTZ wameingia Kenya kupata darasa, pia na wewe fanya kama mimi, ilete taarifa.
JokaKuu
 
..mbona kwenye post yangu ya kwanza kuna link kwenda kwenye gazeti lililotoa taarifa za cadets wa Kenya kuhitimu Monduli? umekuwa na haraka kuniita mropokaji na muongo.
 
Aha... nimeiona hiyo link ya kwanza ambayo imejificha, mimi nilikua nimefuata ya pili. Haya huo ni ushahidi kuna Wakenya wanne wamepata mafunzo ya kijeshi Tanzania, sasa endeleeni mna uhuru wa kubeza, ila kumbuka na hapo juu nilikuonyesha wanajeshi Watanzania walioingia Kenya kupata mafunzo, ila sisi huwa hatuna haraka ya kubeza kama nyie.
 
..ku-highlight mahusiano mazuri kati ya Tz na Ky siyo kubeza hata kidogo.

..nikikwambia kwamba Tz ndiyo number 1 trading partner wa Ky ktk Afrika Mashariki nitakuwa nimekubeza??

..je nikileta taarifa za askari wa Tz na Ky kushirikiana ktk kumkamata mhalifu alitoroka Ky na kuja kujificha Tz nitakuwa nimeikashifu au kuibeza Ky?
 
Kuleta au ku-higlight taarifa sio tatizo, shida iko yale mnayoyaongezea, fuatilia huu uzi wako taratibu utaelewa.
 
Haa!najua sio habari nzuri kwako hata kidogo, manake hupendi kabisa uhusiano uwe mzuri;
Ila hii nikawaida sana hata askali wa Tanzania wanakuja huku kwa mafunzo mbalimbali, chuki zilizopo ni sababu ya watu binafsi, ila some of you mntaka kuonyesha kwamba ni uhasama wa nchi na nchi na kujaribu ku incite wa Tanzania yet nyie ni waNyaRwanda tu mliokimbilia huko;
ENGLISH – UMUSEKE – Rwanda Defense Forces Command and Staff College/Intake Two Launched

Utakuwa una matatizo ya akili. Yaani wewe kila siku unawawaza hao mainterahamwe. Si mumesema mumewaangamiza wote? mbona sasa hamtulii. Inaonekana mnajua mlichowafanya na mnaogopa watalipiza. Ukabila ndo utakaowamaliza nyie
 
Tuache ybabaishaji daima,mleta mada ana chefua ,hajasimama kwenye mstari ,ni kama habari ya kutunga tu.
 
Back
Top Bottom