Kinombweni jr
Member
- Jul 25, 2023
- 28
- 37
Habari zenu wadau wa jamiiforum ,course inapigwa lini?mwenye ronja plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina Ndugu shukrani sana yaaani acha Mimi mpaka now Nina 30 kasoro Moja nimepambana na Banga zote ila nimeishiwa kutapeliwa tu.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
😅😅😅Mungu kakusaidia. Ungekufa maskini kwenye magwanda yako
SAMWALEKO[emoji38]... sema wengi tu sahv wanaishi unyama tu sio kama askari wa kipindi cha nyumaMungu kakusaidia. Ungekufa maskini kwenye magwanda yako
Kwan wanaanza course ya tpdf lini jamanwanaishi
ronja iliyopo ni kwamba wanaeza kuitwa this August sasa kuhusu kozi kuanza sifaham blazaKwan wanaanza course ya tpdf lini jaman
Daaah wafanye kwelii mdogo Wangu akapewe Doso naona ana molali sanaronja iliyopo ni kwamba wanaeza kuitwa this August sasa kuhusu kozi kuanza sifaham blaza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ronja iliyopo ni kwamba wanaeza kuitwa this August sasa kuhusu kozi kuanza sifaham blaza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]tunaijua hiyo ilikuwa ni kozi ya Msata RTS pale ya Oljoro ndo mwezi AugustWashslaitwa tayar na wapo kozi kwa taarifa sahihi msiumie ndo ukwel wajamaa walushanza kozi tayar na imepigwa kimya kimya 🥲🥲🥲🥲
[emoji23][emoji23]tunaijua hiyo ilikuwa ni kozi ya Msata RTS pale ya Oljoro ndo mwezi August
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kozi Oljoro hawajaanza ndugu usitudanganyeNiamin mimi kozi tayar washaanza kozi usihuzunike maisha haya bila connection huwez kutoboa
hio ni ya msata olj bado.... af hao si walienda kitambo tu we ndio unajua sahz[emoji38][emoji38]Washslaitwa tayar na wapo kozi kwa taarifa sahihi msiumie ndo ukwel wajamaa walushanza kozi tayar na imepigwa kimya kimya 🥲🥲🥲🥲
hio ni ya msata olj bado.... af hao si walienda kitambo tu we ndio unajua sahz[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
NDIO NDIO HAWAJI[emoji3514] NASHUKURU KWA TAARIFAUnachek hat hujui mimi unae mchek hay subilia wakija nipo pale niite mbwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957]
[emoji23][emoji23]achana nae huyo anazani sisi ni watoto Oljoro Bado na tutamwita mbwaNDIO NDIO HAWAJI[emoji3514] NASHUKURU KWA TAARIFA
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]et so sorry daaahTayar kaka so sory
easy tu kila mmoja aamini anacho amini.... uskute nae ni muhanga kama wengne tu sasa anatafuta peace of mind kwa kujipgisha shoti kwamba hawaji... but em tusubiri maadam hatulipi pesa kwenye kusubiri aah unyama[emoji23][emoji23]achana nae huyo anazani sisi ni watoto Oljoro Bado na tutamwita mbwa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Yeah Hilo tu ngoja tusubirieeasy tu kila mmoja aamini anacho amini.... uskute nae ni muhanga kama wengne tu sasa anatafuta peace of mind kwa kujipgisha shoti kwamba hawaji... but em tusubiri maadam hatulipi pesa kwenye kusubiri aah unyama
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app