mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Mwezi wa nane unakaribia uo wakuu tunaomba any update
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimepata update ni confirmed mwez wa naneMwezi wa nane unakaribia uo wakuu tunaomba any update
Ndio simu zitapigwa au watu wataripoti mkuu?nimepata update ni confirmed mwez wa nane
Nahisi watapigiwa simu kama kawaidaNdio simu zitapigwa au watu wataripoti mkuu?
Lazima simu zipigwe ndo watu waripoti hawawezi enda tuNdio simu zitapigwa au watu wataripoti mkuu?
Kwa waliopo vikosini zitatumwa Sms kwa waliopo majumbani watapigiwa simuNdio simu zitapigwa au watu wataripoti mkuu?
Kila la heri mkuuKwa waliopo vikosini zitatumwa Sms kwa waliopo majumbani watapigiwa simu
Apo sawa sema nakujaga tu kuskia wameanza kozi simu ata hatupati kwamba ndo tuna mikosi au ni mbanga hatunaKwa waliopo vikosini zitatumwa Sms kwa waliopo majumbani watapigiwa simu
watangaze mara ngapi na waombe mara ngapi,jw unaweza ukatuma maombi na ukasikilizia mwaka mzimaKwani si watatangaza Tena watu watume maombi then wanafanya kuita wanao wahitaji au
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu kila la kheri..watangaze mara ngapi na waombe mara ngapi,jw unaweza ukatuma maombi na ukasikilizia mwaka mzima
😂Pole mkuu. Nimekuomba ufafanue na umefafanua kwa kirefu mpaka imekuwa ramli chonganishi.
Kwamba mambo tayar yameiva ?
JWTZ limenisikitisha sana, Amiri Jeshi wao mkuu anashambuliwa na kutukanwa na kijitu ka Lissu na wao wamekaa kimya tu.Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kisha wakarejeshwa majumbani.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda akiwa Dodoma leo amesema “Vijana hawa walifanya mafunzo JKT na walipotimiza miaka miwili wakapewa vyeti baada ya kukosa fursa aidha kuandikishwa JWTZ au katika Taasisi/Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, walirejeshwa majumbani lakini sasa fursa imepatikana, naishukuru Serikali tumepata nafasi kuandikisha Vijana hawa”
“Kijana anatakiwa awe Raia wa Tanzania wa kuzaliwa umri wa miaka 18-26 kwa Form IV hadi Form VI, kwa wenye elimu ya juu kufikia shahada ya uzamili umri usizidi miaka 27, awe na afya nzuri ya mwili na akili, tabia njema, nidhamu nzuri na awe hajawahi kupatikana na kosa la kijinai au kushtakiwa Mahakamani na kufungwa, vilevile awe na cheti halisi cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na taaluma na pia awe hajawahi kutumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo na Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo na awe na cheti cha kuhudumia JKT kwa miaka miwili”
“Maombi kwa mkono yawasilishwe Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia hivi sasa ninavyotangaza hadi March 20,2023, yatumwe kwa Mkuu wa Utumishi Makao Makuu ya JWTZ, P.O.BOD 194 Dodoma, Tanzania au pia kupitia ulinzimagazine@tpdf.mil.tz”
Huu Uzi hausiani na hizo mambo za siasa kwanza huyo lissu ndo nani?JWTZ limenisikitisha sana, Amiri Jeshi wao mkuu anashambuliwa na kutukanwa na kijitu ka Lissu na wao wamekaa kimya tu.
Mpaka najiuliza, hivi ile "fraternal" ya Kijeshi iko wapi?
Mnakijuwa kisa cha marehemu Zacharia hans Pope?
Hii ilikuwa baada ya Magufuli kuambiwa Hans kaenda UsA kutibiwa mguu na huku nyuma mali yake anadhulumiwa na Lake Oil.
Magu akampigia hans, akamwabia nasikia una matatizo na Lake, niambie ilikuwaje, Hans akamweleza, akamwabia rudi haraka, usikubali mali yako ichukuliwe na mtu. Ndiyo kisa cha hans kurudi Tanzania bila kusumbuliwa eyapoti wala kwengine.
Siku ya pili akaamkia ofisini kwake, akakuta watu wa Lake Oil wametanda wanamwabia hapa siyo ofissi yako tena huwezi kuingia. hans akaingia kwa nguvu akakaa ofisini kwake, si waarabu wapige simu polisi, ma[olisi wakaja kibao, ile waarabu wanapiga polisi Hans ka[iga kwa Magu, Magu akacheka akamwambia "wewe mwanajeshi utaka msaada kwangu" ule udugu wenu wa jeshi uko wapi, vinakubuwa vipolisi hivyo. Kasheshe.
Hans si akapiga kwa anaowajuwa mwenyewe jeshini huko, dakika 20 zimeshuka landrover za jeshi na watu wako kwenye full combat kama kuna vita, kumbe hans alivyomaliza simu na Magu, na Magu si najuwa mtu wa vituko yule akampigia mkuu wa majeshi, akmwabia khaa, nyie mwanajeshi mwenzenu anateswa na polisi ofisini kwake na yeye anaumwa, mmekaa tu?
EEh bwana wee, waliokuwepo kwenye hiyo mpvie, wanasea siku hiyo tuliwaonea huruma mapolisi.
Wabajeshi huwa wanfanya vituko mwenzao akionewa, nasikia polisi wote na mkubwa wao waliofatana nae, sijuwi alikuwa na cheo gani, walipigishwa kichura yadi nzima.
Nawashangaa nyinyi wanajeshi a siku hizi. Amiri jeshi mkuu anatukanwa na mpumbavu mmoja mnashindwa kumchezesha hata kichura> Yaani mmekuwa waoga kiasi hicho?
Dah! Mdebwedo.
Non senseJWTZ limenisikitisha sana, Amiri Jeshi wao mkuu anashambuliwa na kutukanwa na kijitu ka Lissu na wao wamekaa kimya tu.

rudi shule ukajifunze kuandikaJWTZ limenisikitisha sana, Amiri Jeshi wao mkuu anashambuliwa na kutukanwa na kijitu ka Lissu na wao wamekaa kimya tu.