JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ limenisikitisha sana, Amiri Jeshi wao mkuu anashambuliwa na kutukanwa na kijitu ka Lissu na wao wamekaa kimya tu.

Mpaka najiuliza, hivi ile "fraternal" ya Kijeshi iko wapi?

Mnakijuwa kisa cha marehemu Zacharia hans Pope?

Hii ilikuwa baada ya Magufuli kuambiwa Hans kaenda UsA kutibiwa mguu na huku nyuma mali yake anadhulumiwa na Lake Oil.

Magu akampigia hans, akamwabia nasikia una matatizo na Lake, niambie ilikuwaje, Hans akamweleza, akamwabia rudi haraka, usikubali mali yako ichukuliwe na mtu. Ndiyo kisa cha hans kurudi Tanzania bila kusumbuliwa eyapoti wala kwengine.

Siku ya pili akaamkia ofisini kwake, akakuta watu wa Lake Oil wametanda wanamwabia hapa siyo ofissi yako tena huwezi kuingia. hans akaingia kwa nguvu akakaa ofisini kwake, si waarabu wapige simu polisi, ma[olisi wakaja kibao, ile waarabu wanapiga polisi Hans ka[iga kwa Magu, Magu akacheka akamwambia "wewe mwanajeshi utaka msaada kwangu" ule udugu wenu wa jeshi uko wapi, vinakubuwa vipolisi hivyo. Kasheshe.

Hans si akapiga kwa anaowajuwa mwenyewe jeshini huko, dakika 20 zimeshuka landrover za jeshi na watu wako kwenye full combat kama kuna vita, kumbe hans alivyomaliza simu na Magu, na Magu si najuwa mtu wa vituko yule akampigia mkuu wa majeshi, akmwabia khaa, nyie mwanajeshi mwenzenu anateswa na polisi ofisini kwake na yeye anaumwa, mmekaa tu?


EEh bwana wee, waliokuwepo kwenye hiyo mpvie, wanasea siku hiyo tuliwaonea huruma mapolisi.

Wabajeshi huwa wanfanya vituko mwenzao akionewa, nasikia polisi wote na mkubwa wao waliofatana nae, sijuwi alikuwa na cheo gani, walipigishwa kichura yadi nzima.



Nawashangaa nyinyi wanajeshi a siku hizi. Amiri jeshi mkuu anatukanwa na mpumbavu mmoja mnashindwa kumchezesha hata kichura> Yaani mmekuwa waoga kiasi hicho?

Dah! Mdebwedo.
 
Huu Uzi hausiani na hizo mambo za siasa kwanza huyo lissu ndo nani?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Non sense
 
rudi shule ukajifunze kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…