princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
sikupingi kaka wapo rts kundi la 42 ila sisi tunasubiria la 43 oljoro
Tupe ronja basi ya 44Kaka nakwambia niamini bro watu washachukuliwa na zilikuwa nafac za wakubwa tayr kiini macho lakin ukwel hamutak kuambiwa haya kazen mishipa
Acha kudanganya watu bro,Sio kweli.Kaka nakwambia niamini bro watu washachukuliwa na zilikuwa nafac za wakubwa tayr kiini macho lakin ukwel hamutak kuambiwa haya kazen mishipa
Tumuulize huyu jamaa hao wanapigia kozi wapi? huenda wapo!Kaka nakwambia niamini bro watu washachukuliwa na zilikuwa nafac za wakubwa tayr kiini macho lakin ukwel hamutak kuambiwa haya kazen mishipa
Miaka 30 unakata tamaa mzee Daaahh..!!!! sasa mi nina miaka 49 nina Chet cha std 7 na bado nina matumain ya kuvaa bakabaka mzee...mi nina miaka 30 na diploma yangu ko miaka imenitupa kabisa ningekuwa na bachelor kidg ingekuwa ndo.mara ya mwisho
HaaaaaaaMiaka 30 unakata tamaa mzee Daaahh..!!!! sasa mi nina miaka 49 nina Chet cha std 7 na bado nina matumain ya kuvaa bakabaka mzee...
Lile ni jeshi la wananchi na mim ni mwananchi ( Baba Kantuma ) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
[emoji23][emoji23]futa wazo saiz system ngumu sana hiyo miaka ata umodoe vp haikubali au tu ukienda depo utakimbia mwenyweMiaka 30 unakata tamaa mzee Daaahh..!!!! sasa mi nina miaka 49 nina Chet cha std 7 na bado nina matumain ya kuvaa bakabaka mzee...
Lile ni jeshi la wananchi na mim ni mwananchi ( Baba Kantuma ) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
System ngumu how mzee iv kuna linalishindikana Tz hii ndugu yangu ok sawa. Ngoja niendele kuvua samaki huku sengerema[emoji23][emoji23]futa wazo saiz system ngumu sana hiyo miaka ata umodoe vp haikubali au tu ukienda depo utakimbia mwenywe
AKILI kubwa sana NDUGU yangu.. ushauri wenye TIJA kwa jeshi letu pendwa..Tunapaswa kubadilisha mfumo wa Jeshi letu, tuanze kuajiri Wananchi Kwa mkataba Kwa maana ya kwamba kigezo Cha Umri kiwepo Kwa special units, lkn Kwa Wananchi wa kawaida waajiriwe Kwa mkataba wa miaka sita sita, kusudi Jeshi Wananchi waweze kulitumikia Jeshi lao kizalendo zaidi....Kingine tuanze kuwa na miradi Mikubwa ya kiuchumi mbali na inayoendeshwa JKT ktk kitendo SUMA, Lkn Jeshi Kwa ujumla linapaswa kuanzisha miradi Mikubwa zaidi ya Ile project ya kutengeneza magari ya Nyumbu, tuanze kutengeneza umeme wa kutumia nuclear power usimamiwe na Jeshi, Viwanda vya nguo visimamiwe na Jeshi ..na Viwanda vingi vya kimkakati siwezi kuvimention humu vyote na project ambazo zitaongeza chachu ya ukuaji wa uchumi wa nchi Kwa haraka ...
Mwisho wa siku Tutawatengenezea uzalendo mkubwa sana Wananchi wetu.
Yapo mengi sana ya kuifanyia reformation Jeshi letu.
[emoji23]wew ni kama mimi tu tumezeeka mi naendelea kupambana na biashara japokuwa jeshi bdo natamani.,japokuwa hawana hela za kunilipa kama biashara ila jeshi lipo MOYONI tu ata bure mi npo tayar kuwa mjeda.System ngumu how mzee iv kuna linalishindikana Tz hii ndugu yangu ok sawa. Ngoja niendele kuvua samaki huku sengerema
kina chino au sio[emoji28][emoji28] kaimba marioo na jaivahnilikuwa na wanangu wakina CHINO ivi hili SONG kaimba nani?
Asante kiongozi unatumia mtandao gan nikupe voCHAkina chino au sio[emoji28][emoji28] kaimba marioo na jaivah
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hayo yaache tu kama yalivo hakuna ajuwae ukweli wote tuna bet tuDuh Mambo magumu mpaka sasa naona kimya
Mwezi wa 10 andaa mwili huo maana wazee wakubwa wanakuja kuchukua watu wao.Wazee mpya ?
Op gani wewe ulipita pale Mlale? Na harakati za Masangu na embakasi? [emoji38]Naikumbuka Sana ile siku ya kwanza nalipoti 842......
Daaa mlale nimewamisi.. Sanaaa
Zitapita depo zote lakin Jakata Ina utamu wake...
Chapavumbiiiii[emoji1787]