Tunapaswa kubadilisha mfumo wa Jeshi letu, tuanze kuajiri Wananchi Kwa mkataba Kwa maana ya kwamba kigezo Cha Umri kiwepo Kwa special units, lkn Kwa Wananchi wa kawaida waajiriwe Kwa mkataba wa miaka sita sita, kusudi Jeshi Wananchi waweze kulitumikia Jeshi lao kizalendo zaidi....Kingine tuanze kuwa na miradi Mikubwa ya kiuchumi mbali na inayoendeshwa JKT ktk kitendo SUMA, Lkn Jeshi Kwa ujumla linapaswa kuanzisha miradi Mikubwa zaidi ya Ile project ya kutengeneza magari ya Nyumbu, tuanze kutengeneza umeme wa kutumia nuclear power usimamiwe na Jeshi, Viwanda vya nguo visimamiwe na Jeshi ..na Viwanda vingi vya kimkakati siwezi kuvimention humu vyote na project ambazo zitaongeza chachu ya ukuaji wa uchumi wa nchi Kwa haraka ...
Mwisho wa siku Tutawatengenezea uzalendo mkubwa sana Wananchi wetu.
Yapo mengi sana ya kuifanyia reformation Jeshi letu.