JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Swala la umri Kwa vijana ni Changamoto sana, mnawaweka JKT muda mrefu sana kwenye kujitolea,afu mnawarudisha nyumbani mkidai ajira Bado, ajira zikitoka mnawatangazia wakija kufanya interview mnawakata kwamba umri umezidi wako nje ya vigezo, mnasahaau kwamba nyie ndo walezi wao wa awali mpaka apo wanarudi majumbani ..nafikiri iyo siyo namna nzuri ya kuwaandaa vijana wetu Kwa ajili ya ajira kwenye taasisi zetu za serikali, namna nzuri ni Ile kufanya coordination na Wizara husika kuforecust ni ajira kiasi gani zitahitajika apo baadaye, na kuanza kuandaa vijana kupitia hizo program za JKT Kwa kujitolea na Kwa mujibu wa Sheria Kwa mikakati zaidi iliyoainishwa na serikali ya muda mfupi na muda mrefu ...siyo Kila mwaka ni kuchukua pasipo kuwa mikakati dhabiti...
Kingine tunawaumiza sana vijana kisaikolojia baada ya kuitumikia JKt Kwa muda mrefu na Kwa nidhamu afu mwisho wa siku mnakuja kuwaacha Kwa kigezo Cha Umri ..Kwa umri ndo unafanya kazi, siyo Kila kazi inafanywa Kwa vigezo vya umri ..
Tunaomba muawachukue vijana mliokwisha watumia Kujenga miradi yenu.
 
mi nina miaka 30 na diploma yangu ko miaka imenitupa kabisa ningekuwa na bachelor kidg ingekuwa ndo.mara ya mwisho
Miaka 30 unakata tamaa mzee Daaahh..!!!! sasa mi nina miaka 49 nina Chet cha std 7 na bado nina matumain ya kuvaa bakabaka mzee...

Lile ni jeshi la wananchi na mim ni mwananchi ( Baba Kantuma ) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
[emoji23][emoji23]futa wazo saiz system ngumu sana hiyo miaka ata umodoe vp haikubali au tu ukienda depo utakimbia mwenywe
 
Tunapaswa kubadilisha mfumo wa Jeshi letu, tuanze kuajiri Wananchi Kwa mkataba Kwa maana ya kwamba kigezo Cha Umri kiwepo Kwa special units, lkn Kwa Wananchi wa kawaida waajiriwe Kwa mkataba wa miaka sita sita, kusudi Jeshi Wananchi waweze kulitumikia Jeshi lao kizalendo zaidi....Kingine tuanze kuwa na miradi Mikubwa ya kiuchumi mbali na inayoendeshwa JKT ktk kitendo SUMA, Lkn Jeshi Kwa ujumla linapaswa kuanzisha miradi Mikubwa zaidi ya Ile project ya kutengeneza magari ya Nyumbu, tuanze kutengeneza umeme wa kutumia nuclear power usimamiwe na Jeshi, Viwanda vya nguo visimamiwe na Jeshi ..na Viwanda vingi vya kimkakati siwezi kuvimention humu vyote na project ambazo zitaongeza chachu ya ukuaji wa uchumi wa nchi Kwa haraka ...
Mwisho wa siku Tutawatengenezea uzalendo mkubwa sana Wananchi wetu.
Yapo mengi sana ya kuifanyia reformation Jeshi letu.
 
AKILI kubwa sana NDUGU yangu.. ushauri wenye TIJA kwa jeshi letu pendwa..
 
System ngumu how mzee iv kuna linalishindikana Tz hii ndugu yangu ok sawa. Ngoja niendele kuvua samaki huku sengerema
[emoji23]wew ni kama mimi tu tumezeeka mi naendelea kupambana na biashara japokuwa jeshi bdo natamani.,japokuwa hawana hela za kunilipa kama biashara ila jeshi lipo MOYONI tu ata bure mi npo tayar kuwa mjeda.
 
Naikumbuka Sana ile siku ya kwanza nalipoti 842......

Daaa mlale nimewamisi.. Sanaaa

Zitapita depo zote lakin Jakata Ina utamu wake...

Chapavumbiiiii[emoji1787]
Op gani wewe ulipita pale Mlale? Na harakati za Masangu na embakasi? [emoji38]

Mlale kidongo chekundu unforgettable memories.
 
Back
Top Bottom