JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

[emoji23][emoji23]Ombeni nafac za polis hizo zimetoka mnasubiria Ronja za Jw... mtasubir sana [emoji1787]
Dogo Alikuwa jkt alipata nafas ya usahil police akasema hawezi kwenda huko Ana subiria mshati ....muda huuu Yuko bogi la ujenz analia tu Ana tamani angekuwa huko CCP moshi
 
Mbon kuna baadhi wariajiliw tayar
 
Unatak ushaur wa nn mkuu , kuomba buree mkuu,

Pelek CV hyo na utakuj nishukuru,
 
Wewe nani aliyekuambia hawatangazi?
Zinatangazwa na tusio husika hatujui kama tangazo husika ni kazi za idara uliyosema.
Wanao bahatika kupita kwenye usahili wanajulishwa.
Kazi yenyewe inategemea usiri sasa kama wanatangaza hadharani mnaonekana kwenye usahili na wanaopita wanajulikana watafanyaje kazi huko wanakopelekwa kukusanya taarifa?
Unataka watu waende kuuwawa huko makazini?
 
Duuuuu sasa hapo utajuaje aiseee.

Labda jamaa amemaanisha tangazo Rasmi.
Ukiona kazi zinatangazwa na serikali usipuuzie omba huwezi jua .....
Ukibahatika kutegemeana na sifa wanazotaka na ulivyo faulu usahili unaweza jikuta upo idarani huko kitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…