Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 128
- 101
Hahahahaha.Zamani ilikuwa inatengenezwa vita halafu nafasi zinatangazwa kwa maelfu.
Nzalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.Zamani ilikuwa inatengenezwa vita halafu nafasi zinatangazwa kwa maelfu.
Dogo Alikuwa jkt alipata nafas ya usahil police akasema hawezi kwenda huko Ana subiria mshati ....muda huuu Yuko bogi la ujenz analia tu Ana tamani angekuwa huko CCP moshi[emoji23][emoji23]Ombeni nafac za polis hizo zimetoka mnasubiria Ronja za Jw... mtasubir sana [emoji1787]
Huwezi jua anaweza pata Takukuru au Dcea akatoboa.Dogo Alikuwa jkt alipata nafas ya usahil police akasema hawezi kwenda huko Ana subiria mshati ....muda huuu Yuko bogi la ujenz analia tu Ana tamani angekuwa huko CCP moshi
Ka mchezo kachafuUmeingia JKT una miaka 25 ukatumikia JKT miaka miwili..
26-27 ukamaliza ukarudi mtaani,
Ukakaa mtaani miaka 3 Jumla ni 30 Ajira inataka 18-26
Bongo kweli Nyoso
Mbon kuna baadhi wariajiliw tayarHapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
Unatak ushaur wa nn mkuu , kuomba buree mkuu,vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip wakuu Nita fanikiwa kweli
Kuna Kosa pia mkuuHuwezi jua anaweza pata Takukuru au Dcea akatoboa.
Wewe nani aliyekuambia hawatangazi?Hata kama wana watu wamewatarget uzuri ni kwamba angalau wametangaza hadharani, ni jambo zuri kuliko kufanya mambo kisiri siri. Bado usalama wa taifa nao ifike wakati watangaze nafas za kazi hadharani, taratb nyingine nd waweke siri, nao wajifunze kwa takukuru tu. Nafas zitangazwe hadharani mwenye sifa aombe alaf mamb mengin nd waweke siri.
Duuuuu sasa hapo utajuaje aiseee.Wewe nani aliyekuambia hawatangazi?
Zinatangazwa na tusio husika hatujui kama tangazo husika ni kazi za idara uliyosema.
Wanao bahatika kupita kwenye usahili wanajulishwa.
Ni kweli ila akipata atasahau shida zote.Kuna Kosa pia mkuu
Takukuru si huwa wanatangaza au nao wanafata makambini siku hizi?Huwezi jua anaweza pata Takukuru au Dcea akatoboa.
Ukiona kazi zinatangazwa na serikali usipuuzie omba huwezi jua .....Duuuuu sasa hapo utajuaje aiseee.
Labda jamaa amemaanisha tangazo Rasmi.
Aiseeee kwa hiyo unaweza kusema inakuja indirectUkiona kazi zinatangazwa na serikali usipuuzie omba huwezi jua .....
Ukibahatika kutegemeana na sifa wanazotaka na ulivyo faulu usahili unaweza jikuta upo idarani huko kitengo.
Mimi sijui kitu nimeongea tu.Aiseeee kwa hiyo unaweza kusema inakuja indirect
Sawa.Mimi sijui kitu nimeongea tu.
Ila usipuuzie vitu.
Hv kuna wqtu wamesota jkt na sasa wapo kitaa? Mbna ajira za majeshi nyng sana naona zinatoka.Ka mchezo kachafu
Kuna waliohitmu miak 5/7 sasa wapo ktaa
WAPO WENGI TU MZEEHv kuna wqtu wamesota jkt na sasa wapo kitaa? Mbna ajira za majeshi nyng sana naona zinatoka.
hadi wa degree ??