JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

[emoji23][emoji23]Ombeni nafac za polis hizo zimetoka mnasubiria Ronja za Jw... mtasubir sana [emoji1787]
Dogo Alikuwa jkt alipata nafas ya usahil police akasema hawezi kwenda huko Ana subiria mshati ....muda huuu Yuko bogi la ujenz analia tu Ana tamani angekuwa huko CCP moshi
 
Hapo waliopo kwenye Target ni wale Op Uchumi wa kati ambao walimaliza mikataba ila walikosa ajira before the Death of The Hon. JPM serikali ikapata kashfa nyingi za kuwaita waasi then baadaye wakarudishwa makambini na Op ikapewa jina samia. Kama una cheti cha jkt chenye hiyo sifa kopa hapa pesa nenda Dodoma utakuja kunishukuru..Done![emoji419]
Mbon kuna baadhi wariajiliw tayar
 
vip Kwa wale ambao hawana Cheti cha jkt na wanakata kujiunga na jeshi hivi ina wezekana Yan Mim nipo mtaani natafuta Sana vibarua Ila ime kuwa ngumu wakubwa so nime waza niapply nafasi hio ya jwtz lakin Cheti Cha jkt sina Nina form 4,6 na bachelor ya shipping ki umri nina miaka 23 now ..vip wakuu Nita fanikiwa kweli
Unatak ushaur wa nn mkuu , kuomba buree mkuu,

Pelek CV hyo na utakuj nishukuru,
 
Hata kama wana watu wamewatarget uzuri ni kwamba angalau wametangaza hadharani, ni jambo zuri kuliko kufanya mambo kisiri siri. Bado usalama wa taifa nao ifike wakati watangaze nafas za kazi hadharani, taratb nyingine nd waweke siri, nao wajifunze kwa takukuru tu. Nafas zitangazwe hadharani mwenye sifa aombe alaf mamb mengin nd waweke siri.
Wewe nani aliyekuambia hawatangazi?
Zinatangazwa na tusio husika hatujui kama tangazo husika ni kazi za idara uliyosema.
Wanao bahatika kupita kwenye usahili wanajulishwa.
Kazi yenyewe inategemea usiri sasa kama wanatangaza hadharani mnaonekana kwenye usahili na wanaopita wanajulikana watafanyaje kazi huko wanakopelekwa kukusanya taarifa?
Unataka watu waende kuuwawa huko makazini?
 
Duuuuu sasa hapo utajuaje aiseee.

Labda jamaa amemaanisha tangazo Rasmi.
Ukiona kazi zinatangazwa na serikali usipuuzie omba huwezi jua .....
Ukibahatika kutegemeana na sifa wanazotaka na ulivyo faulu usahili unaweza jikuta upo idarani huko kitengo.
 
Back
Top Bottom