NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili neno la Baba kantuma wachache ndio wanaoelewa ila lipo kimkakati sana
nampata wapi sasa kwa maana rafiki zangu mwisho ni maafisa hawana msaada wowote niliweka pesa mezani ila hazikufanya kazi ilikuwa ni pay after win
Kua Makini sana kwenye maswala ya kuwawekea kibunda maafande.[emoji28]nampata wapi sasa kwa maana rafiki zangu mwisho ni maafisa hawana msaada wowote niliweka pesa mezani ila hazikufanya kazi ilikuwa ni pay after win
Sema ulicheza vyema sana kwenye "Pay after win".[emoji28]nampata wapi sasa kwa maana rafiki zangu mwisho ni maafisa hawana msaada wowote niliweka pesa mezani ila hazikufanya kazi ilikuwa ni pay after win
yaaan mi toka ipigwe milion 1 kipindi niko kijana nikitaka kuwa mwanajesh na nikaukosa apo tu ndo nilijifunza saizi kwa mdogo wang nilisema pay after win bdo wakashindwa na nilieka cha kutosha mezani
Pole mkuu.yaaan mi toka ipigwe milion 1 kipindi niko kijana nikitaka kuwa mwanajesh na nikaukosa apo tu ndo nilijifunza saizi kwa mdogo wang nilisema pay after win bdo wakashindwa na nilieka cha kutosha mezani
Hata hivyo mda bado sana ,bog ni October ,kama unataka mtu wa uhakika nicheki
Ishakua October mkuu?..Hata hivyo mda bado sana ,bog ni October ,kama unataka mtu wa uhakika nicheki
@Padone EPM kazi kwako mkuu.Hata hivyo mda bado sana ,bog ni October ,kama unataka mtu wa uhakika nicheki
ngoma inasogezwa kimtindo kushtukia millad ayo anapost kundi namba 43 lahitimu mafunzo katka shule ya kijeshi[emoji38][emoji38]
Watapiga za police ,baada ya hapo magereza then finally jwtz na watachukua wengine sana
Hapo watachukua wengi sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji851][emoji851]Watapiga za police ,baada ya hapo magereza then finally jwtz na watachukua wengine sana
Credible source yangu ilikua inasema kua baada ya kwa mujibu kumaliza kozi basi simu zitaanza kuita.Kama una source ya uhakika ulizia utapata majibu.
Sio poa mkuu.ngoma inasogezwa kimtindo kushtukia millad ayo anapost kundi namba 43 lahitimu mafunzo katka shule ya kijeshi[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hii ronja inatia moyoWatapiga za police ,baada ya hapo magereza then finally jwtz na watachukua wengine sana
Kwa mujibu wameriport mwisho ilikuwa trh 10 June ,orientation unakula week kabisa ,then miezi mitatu course wanatakiwa kumaliza mwezi gan!? Wa nane ???? HahahahahhahaCredible source yangu ilikua inasema kua baada ya kwa mujibu kumaliza kozi basi simu zitaanza kuita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Between tarehe 9-15 septemba,kwa Mujibu wote nchi nzima watakua tayari wamemaliza mafunzo.Kwa mujibu wameriport mwisho ilikuwa trh 10 June ,orientation unakula week kabisa ,then miezi mitatu course wanatakiwa kumaliza mwezi gan!? Wa nane ???? Hahahahahhaha
Remember wameingia trh 10, watamaliza mwishoni wa 9 ama early October , maana trh 10 June ukiweka na orientationBetween tarehe 9-15 septemba,kwa Mujibu wote nchi nzima watakua tayari wamemaliza mafunzo.
Ila mwezi wa 8 nimemaanisha watu kupigiwa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app