JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

ngoma inasogezwa kimtindo kushtukia millad ayo anapost kundi namba 43 lahitimu mafunzo katka shule ya kijeshi[emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio poa mkuu.

Hapo ndio utachoka[emoji28].

Wakati unaulizia lonja huku mtaani kumbe watu wapo wanakula mzigo.

Kuja kuhamaki Millard Ayo anapost kua kundi la 43 lahitimu mafunzo katika shule ya kijeshii Oljoro.[emoji28][emoji28].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wameriport mwisho ilikuwa trh 10 June ,orientation unakula week kabisa ,then miezi mitatu course wanatakiwa kumaliza mwezi gan!? Wa nane ???? Hahahahahhaha
Between tarehe 9-15 septemba,kwa Mujibu wote nchi nzima watakua tayari wamemaliza mafunzo.

Ila mwezi wa 8 nimemaanisha watu kupigiwa simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom