MATIC_
Member
- Mar 15, 2023
- 93
- 155
mujubu wanamaliza tar 6/9Remember wameingia trh 10, watamaliza mwishoni wa 9 ama early October , maana trh 10 June ukiweka na orientation
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mujubu wanamaliza tar 6/9Remember wameingia trh 10, watamaliza mwishoni wa 9 ama early October , maana trh 10 June ukiweka na orientation
Rudia kufanya hesabu ,haimanishi walivyoingia ile trh 10 June walifika tu nakuanza course ,kipindi chetu tulikaa miezi mitatu na week mbili ya tatu tikahitimisha
hii taarifa nimepewa na service rwamkoma... koo hzo hesab sjui waliingia tar fulan sio kigezo cha kusema watamalza tar za mwishon mwez wa 9Rudia kufanya hesabu ,haimanishi walivyoingia ile trh 10 June walifika tu nakuanza course ,kipindi chetu tulikaa miezi mitatu na week mbili ya tatu tikahitimisha
nafasi muulize jamaa yako wa chamwino atupe updateKuna nafasi ?
Nimcheki jamaa wa Ikuru
Jana sikumuona ngoja Leo nimlie mingonafasi muulize jamaa yako wa chamwino atupe update
sawa utatupa mrejeleoJana sikumuona ngoja Leo nimlie mingo
hahahaha lakini ni pay after win ajue hilo
wew jamaa ndo nakuamin humu JfJana sikumuona ngoja Leo nimlie mingo
Kozi wapi mkuu?.mimi ronja niliyo nayo kwanzia jana wameanza kuchukua wakufunzi kutoka bogi mbali mbali wanatua RTS pale ko soon mambo yatalipuka
Na mim leo nimepigiwa simu nikaulizwa na miaka mingap kwa sasa nikawaambia mwez wa 11 natimiza 49 wakaniambia bado mdogo sana [emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2]mimi ronja niliyo nayo kwanzia jana wameanza kuchukua wakufunzi kutoka bogi mbali mbali wanatua RTS pale ko soon mambo yatalipuka
oljoro mkuu
hahaha hii imeenda yaaan miaka 49 bora mimi 30 na nishakata tamaa nipo mtaani nakula mema ya nchiNa mim leo nimepigiwa simu nikaulizwa na miaka mingap kwa sasa nikawaambia mwez wa 11 natimiza 49 wakaniambia bado mdogo sana [emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2]
[emoji38][emoji38][emoji38] kwamba bado kijana sana... na huku miaka hyo watu wanaskilizia kustaafu wewe wanakuambia baado mdogo sanaNa mim leo nimepigiwa simu nikaulizwa na miaka mingap kwa sasa nikawaambia mwez wa 11 natimiza 49 wakaniambia bado mdogo sana [emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2]
hahaha aendelee kuwa kijana mdogo[emoji38][emoji38][emoji38] kwamba bado kijana sana... na huku miaka hyo watu wanaskilizia kustaafu wewe wanakuambia baado mdogo sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watakutana tena 834 hapo ndio kutakua na usahili baada ya hapo watapiga reflesh rts ndipo watafanya tena usahili wa monduli.jeshi ni gumu sanyingineMadogo wa Mujibu wamepiga usahili juzi wa cadet.
Walipiga usahili kambi ya Mafinga na Arusha..
Watakaopata wataanza kozi maalumu kabla ya kwenda monduli kwa ajili ya cadet course.
Sent using Jamii Forums mobile app