JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Rudia kufanya hesabu ,haimanishi walivyoingia ile trh 10 June walifika tu nakuanza course ,kipindi chetu tulikaa miezi mitatu na week mbili ya tatu tikahitimisha
hii taarifa nimepewa na service rwamkoma... koo hzo hesab sjui waliingia tar fulan sio kigezo cha kusema watamalza tar za mwishon mwez wa 9

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mimi ronja niliyo nayo kwanzia jana wameanza kuchukua wakufunzi kutoka bogi mbali mbali wanatua RTS pale ko soon mambo yatalipuka
Na mim leo nimepigiwa simu nikaulizwa na miaka mingap kwa sasa nikawaambia mwez wa 11 natimiza 49 wakaniambia bado mdogo sana [emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2]
 
Na mim leo nimepigiwa simu nikaulizwa na miaka mingap kwa sasa nikawaambia mwez wa 11 natimiza 49 wakaniambia bado mdogo sana [emoji16][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji2]
[emoji38][emoji38][emoji38] kwamba bado kijana sana... na huku miaka hyo watu wanaskilizia kustaafu wewe wanakuambia baado mdogo sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Madogo wa Mujibu wamepiga usahili juzi wa cadet.

Walipiga usahili kambi ya Mafinga na Arusha..

Watakaopata wataanza kozi maalumu kabla ya kwenda monduli kwa ajili ya cadet course.

Sent using Jamii Forums mobile app
watakutana tena 834 hapo ndio kutakua na usahili baada ya hapo watapiga reflesh rts ndipo watafanya tena usahili wa monduli.jeshi ni gumu sanyingine
 
Back
Top Bottom