JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

hio ni kuwachangamsha watu wafanye vtu chapchap... kama mwanza mwaka jana nahisi walkua wa mwisho kumalza usaili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ni kweli kiongozi apa naona tunategemea ronja kwelii,,, yaaani mambo ni mengi mwaka huu ya RTS. inaweza kuwa imetosha sidhani kama kuna BOGI lingine la Oljoro.

Japokuwa naskia OCTOBER uko ila sina hakika sana.
 
Litakuja December
Kuna toto za Mbaga zinaanza kozi awamu hiii JKT wakimaliza miez 4 t
Zinaachiwa
Note!!!!!
 
Naikumbuka Sana ile siku ya kwanza nalipoti 842......

Daaa mlale nimewamisi.. Sanaaa

Zitapita depo zote lakin Jakata Ina utamu wake...

Chapavumbiiiii[emoji1787]
 
Back
Top Bottom