Mr kirchoff
New Member
- Jan 30, 2020
- 1
- 2
Umri umriii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hii haijakaa poa ,Tangazo lmetoka Leo usahili keshokutwaJKT Kujitolea...View attachment 2728695
Ngumu SanaDuh hii haijakaa poa ,Tangazo lmetoka Leo usahili keshokutwa
wanazidi tu kubana
hio ni kuwachangamsha watu wafanye vtu chapchap... kama mwanza mwaka jana nahisi walkua wa mwisho kumalza usailiwanazidi tu kubana
ni kweli kiongozi apa naona tunategemea ronja kwelii,,, yaaani mambo ni mengi mwaka huu ya RTS. inaweza kuwa imetosha sidhani kama kuna BOGI lingine la Oljoro.hio ni kuwachangamsha watu wafanye vtu chapchap... kama mwanza mwaka jana nahisi walkua wa mwisho kumalza usaili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Litakuja Decemberni kweli kiongozi apa naona tunategemea ronja kwelii,,, yaaani mambo ni mengi mwaka huu ya RTS. inaweza kuwa imetosha sidhani kama kuna BOGI lingine la Oljoro.
Japokuwa naskia OCTOBER uko ila sina hakika sana.
Mwez 6 ikaja mwez 7 ikaja mwez 8 hatuja kaa vzr mwez wa 12 ah ah ah ahLitakuja December
Kuna toto za Mbaga zinaanza kozi awamu hiii JKT wakimaliza miez 4 t
Zinaachiwa
Note!!!!!
Fanya mambo mengine basMwez 6 ikaja mwez 7 ikaja mwez 8 hatuja kaa vzr mwez wa 12 ah ah ah ah
Zitamwagika za kutosha zakutosha be prepare JWKuja kushtuka watu
wanaapishwa
Sidhani Kama ipo Ivo kwajinsi ya Kalenda inavosogezwa tutakuja kuona (niko pale nimekaa)Zitamwagika za kutosha zakutosha be prepare JW
[emoji23][emoji23] wew mbona unatutishaSidhani Kama ipo Ivo kwajinsi ya Kalenda inavosogezwa tutakuja kuona (niko pale nimekaa)
Hamna uo ñdio ukweli ila sina uhakika[emoji23][emoji23] wew mbona unatutisha
hizo ndizo zinaitwa ronja sasa zinasaidia mtu asikate tamaaSidhani Kama ipo Ivo kwajinsi ya Kalenda inavosogezwa tutakuja kuona (niko pale nimekaa)
hhaha umemaliza baba hii inaitwa tunapeana tu MOYOhizo ndizo zinaitwa ronja sasa zinasaidia mtu asikate tamaa
Nikweli ila Kuna wengine kazi yao kukuvunja moyohhaha umemaliza baba hii inaitwa tunapeana tu MOYO
RTS inaweza kuwa mwezi wa ngapi?mimi ronja niliyo nayo kwanzia jana wameanza kuchukua wakufunzi kutoka bogi mbali mbali wanatua RTS pale ko soon mambo yatalipuka