Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
mwezi wa sabaRTS inaweza kuwa mwezi wa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwezi wa sabaRTS inaweza kuwa mwezi wa ngapi?
Mwezi wa saba si umepita, au mwakanimwezi wa saba
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Mwezi wa saba si umepita, au mwakani
[emoji1787][emoji1787] mwanangu vijana wa hovyo sana....[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila hii inchi kwa kamba hapana kwa kwer[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji1787][emoji1787] mwanangu vijana wa hovyo sana....
kuomba nini kwani ni ajira za AFYAMwisho wa kuomba Ni lini?
mwezi wa saba tu ieleweke hivyo ko subiri mwezi wa saba kinalipuka uko rtsMwezi wa saba si umepita, au mwakani
Au sio[emoji1787][emoji1787] huo wa 7 subir ww, ronja niliyoipata ni kwamba, cts ya mwez 9 itaenda sambamba na rtsmwezi wa saba tu ieleweke hivyo ko subiri mwezi wa saba kinalipuka uko rts
Na ukifata maneno yao unaweza kuambiwa nafas ndio zimetoka, unaenda kuchungulia unakuta watu wanakula kiapoIla hii inchi kwa kamba hapana kwa kwer[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Na mm nimehakikihishiwa hivyo, huenda hii ndio ronja ya uhakika[emoji110]UHAKIKA Lipo BOG mwez wa 9 baada ya kupambana sana nimefanikiwa kuonana na Wa juu zaidi .
Jw?????Na mm nimehakikihishiwa hivyo, huenda hii ndio ronja ya uhakika
wenye ronja za uhakika ni waliopo makambini jkt ila wa kitaa aah ni mwendo wa kupeana moyo tu mwez wa 6 mara wa 7 mara wa 8 mara hee mpaka mnasahau mlianzia wapi kupeana ronja[emoji38][emoji38]Na ukifata maneno yao unaweza kuambiwa nafas ndio zimetoka, unaenda kuchungulia unakuta watu wanakula kiapo
Ndio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]wenye ronja za uhakika ni waliopo makambini jkt ila wa kitaa aah ni mwendo wa kupeana moyo tu mwez wa 6 mara wa 7 mara wa 8 mara hee mpaka mnasahau mlianzia wapi kupeana ronja[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
acha tu ndugu yangu haya mambo... uskute kuna mapot kabsa wanatuchora wanaona madogo kazi mnayo mtapeana ronja mpaka akili ziwasimame[emoji38][emoji38]Ndio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]
Ananiambia eti mwez wa 7. Nimecheka kifala sana
Ila kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Tusikate tamaaacha tu ndugu yangu haya mambo... uskute kuna mapot kabsa wanatuchora wanaona madogo kazi mnayo mtapeana ronja mpaka akili ziwasimame[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahaha 😂😂wenye ronja za uhakika ni waliopo makambini jkt ila wa kitaa aah ni mwendo wa kupeana moyo tu mwez wa 6 mara wa 7 mara wa 8 mara hee mpaka mnasahau mlianzia wapi kupeana ronja[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji851][emoji851][emoji851][emoji16][emoji16][emoji16] uyo Jamaa angekuwa karibu yako ungemua kabisaNdio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]
Ananiambia eti mwez wa 7. Nimecheka kifala sana
Huenda hata ni poti huyo anayuchora tunavyopeana moyo[emoji2][emoji2][emoji851][emoji851][emoji851][emoji16][emoji16][emoji16] uyo Jamaa angekuwa karibu yako ungemua kabisa