JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Na ukifata maneno yao unaweza kuambiwa nafas ndio zimetoka, unaenda kuchungulia unakuta watu wanakula kiapo
wenye ronja za uhakika ni waliopo makambini jkt ila wa kitaa aah ni mwendo wa kupeana moyo tu mwez wa 6 mara wa 7 mara wa 8 mara hee mpaka mnasahau mlianzia wapi kupeana ronja[emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]
Ananiambia eti mwez wa 7. Nimecheka kifala sana
 
acha tu ndugu yangu haya mambo... uskute kuna mapot kabsa wanatuchora wanaona madogo kazi mnayo mtapeana ronja mpaka akili ziwasimame[emoji38][emoji38]

Back
Top Bottom