Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Afu unamkuta pale Orjoro pale ndio mkufunzi wako sotojo atakalo kupa sio la nchi hiiHuenda hata ni poti huyo anayuchora tunavyopeana moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu unamkuta pale Orjoro pale ndio mkufunzi wako sotojo atakalo kupa sio la nchi hiiHuenda hata ni poti huyo anayuchora tunavyopeana moyo
Yawezekana aliangalia mwanzo wa mwaka wa serikali.[emoji2][emoji2][emoji851][emoji851][emoji851][emoji16][emoji16][emoji16] uyo Jamaa angekuwa karibu yako ungemua kabisa
atakukimbiza wewe kama swala[emoji38][emoji38] utakimbia hadi mate yakaukeAfu unamkuta pale Orjoro pale ndio mkufunzi wako sotojo atakalo kupa sio la nchi hii
hahahaha dadeqiii Baba kantuma watakubali..atakukimbiza wewe kama swala[emoji38][emoji38] utakimbia hadi mate yakauke
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
afu hamna sema mapot wapo wengii humu ila ronja hawatak kutoa ukifuata ronja za waliopo jkt ndo unapotea kabsa walianz kusema mwez wa 7 ukaisha wakaja na tarehe 17 mwez w 8 kimya ndo ivo..Huenda hata ni poti huyo anayuchora tunavyopeana moyo
hhaha jmaa angu.sorry so wa saba ni mwezi wa 9 nina uhakika nimepambana sana kuonana face to face na wajuu baada ya miaka yote kupigwa hela mingi nimepata wa uhakika umri ushanitema ngoja nimpambanie.DOGO tuone akanywe kikombe cha dosoNdio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]
Ananiambia eti mwez wa 7. Nimecheka kifala sana
Hapo sawa, ngoja tuone kama itakuwa kwelihhaha jmaa angu.sorry so wa saba ni mwezi wa 9 nina uhakika nimepambana sana kuonana face to face na wajuu baada ya miaka yote kupigwa hela mingi nimepata wa uhakika umri ushanitema ngoja nimpambanie.DOGO tuone akanywe kikombe cha doso
Kwahiyo mwezi ujao uhakika sio?hhaha jmaa angu.sorry so wa saba ni mwezi wa 9 nina uhakika nimepambana sana kuonana face to face na wajuu baada ya miaka yote kupigwa hela mingi nimepata wa uhakika umri ushanitema ngoja nimpambanie.DOGO tuone akanywe kikombe cha doso
Nenda ofisi za rita ndugu yanguHivi wakuu cheti cha kifo napataje kwa haraka.
Umri umekutupa una miaka miaka mingap bwa shekheee, soon kuna raiya humu watapotea watakuja kuibukia mwakan hukooo stay tunehhaha jmaa angu.sorry so wa saba ni mwezi wa 9 nina uhakika nimepambana sana kuonana face to face na wajuu baada ya miaka yote kupigwa hela mingi nimepata wa uhakika umri ushanitema ngoja nimpambanie.DOGO tuone akanywe kikombe cha doso
mi nina miaka 30 na diploma yangu ko miaka imenitupa kabisa ningekuwa na bachelor kidg ingekuwa ndo.mara ya mwishoUmri umekutupa una miaka miaka mingap bwa shekheee, soon kuna raiya humu watapotea watakuja kuibukia mwakan hukooo stay tune
Ww mbona bado ni kijana mdogo kabisami nina miaka 30 na diploma yangu ko miaka imenitupa kabisa ningekuwa na bachelor kidg ingekuwa ndo.mara ya mwisho
hilo ni uhakika kama unakumbuka kwenye thread hii nilisema wakufunzi wameitwa rts.. na saizi wanabadilishana tu wengne wanaenda bogi la OLJo ko after hawa mujibu kutoka kozi itapigwa pale tena ni Weka niweke.. yaan zinafuatana
Pamoja mkuu.hilo ni uhakika kama unakumbuka kwenye thread hii nilisema wakufunzi wameitwa rts.. na saizi wanabadilishana tu wengne wanaenda bogi la OLJo ko after hawa mujibu kutoka kozi itapigwa pale tena ni Weka niweke.. yaan zinafuatana
[emoji23]Tatzo mimi nina limit siwez kubanisha miaka naona imenitupa kabsa coz wakuu wamesema angalau ningekuwa na bachelor..Ww mbona bado ni kijana mdogo kabisa
sikupingi kaka wapo rts kundi la 42 ila sisi tunasubiria la 43 oljoroJileni moyo tu aisee hakuna cha ronja wala nini mtakuja kuniamini wahuni washaend kitambo sana niamini mimi kabisa watu wapo wanapiga doso uko mnajipa moyo holla