JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Ndio kama jamaa mmoja hapo juu mkatili sana[emoji1787][emoji1787]
Ananiambia eti mwez wa 7. Nimecheka kifala sana
hhaha jmaa angu.sorry so wa saba ni mwezi wa 9 nina uhakika nimepambana sana kuonana face to face na wajuu baada ya miaka yote kupigwa hela mingi nimepata wa uhakika umri ushanitema ngoja nimpambanie.DOGO tuone akanywe kikombe cha doso
 
Umri umekutupa una miaka miaka mingap bwa shekheee, soon kuna raiya humu watapotea watakuja kuibukia mwakan hukooo stay tune
 
najua humu humu tupo na wakubwa wenyewe na wanaelewa mzigo upo tena wa uhakika na sio wa kubabaisha na order ishatema kitambo
 
Back
Top Bottom