JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Kuna watu wana battle magonjwa, watu wamepoteza ajira, watu wanauguza muda mrefu, watu wanapitia domestic violence, biashara zimegoma, ila tunacheka nao humu.
Ndio maana ukipata nafasi ya kuandika ujumbe wa kutia watu moyo, andika mara kwa mara, watu wanahitaji sauti za namna hii
Be ready October watu wanachukuliwa.

Mchawi afya na vyeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana battle magonjwa, watu wamepoteza ajira, watu wanauguza muda mrefu, watu wanapitia domestic violence, biashara zimegoma, ila tunacheka nao humu.
Ndio maana ukipata nafasi ya kuandika ujumbe wa kutia watu moyo, andika mara kwa mara, watu wanahitaji sauti za namna hii
[emoji23][emoji23]watu wanahitaji sauti za namna hii mwisho wa kunukuu
 
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] seriously tuachen uta leo nilikuwa naongea na kiongoz flan iv kaniambia mwez wa 10 uwakika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Note: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.

""Pay after Win"
 
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Note: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.

""Pay after Win"
Aitheee pole sana ndugu yangu
 
Note: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.

""Pay after Win"
sasa wewe ndio umeongea KIKUBWA maumivu haya hata mimi yalinikuta mpaka sasa siamini mtu yoyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom