Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Na huo mwez utapita tu.. Ronja mpaka mwakaniMwezi wa 10 andaa mwili huo maana wazee wakubwa wanakuja kuchukua watu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo mwez utapita tu.. Ronja mpaka mwakaniMwezi wa 10 andaa mwili huo maana wazee wakubwa wanakuja kuchukua watu wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ah ah ah nyie pigen mambo ya ronja humu muwatie watu moyo [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Na huo mwez utapita tu.. Ronja mpaka mwakani
Watu wapo kambin nw ndugu yangu kila kitu kipo ktk mstar mnyoofuu wew subir mwakan ktk page za mirad ayo ujioneeMbn kmy sana humu aisee au wote mmeenda kuripot?[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23]watu wanahitaji sauti za namna hii mwisho wa kunukuuKuna watu wana battle magonjwa, watu wamepoteza ajira, watu wanauguza muda mrefu, watu wanapitia domestic violence, biashara zimegoma, ila tunacheka nao humu.
Ndio maana ukipata nafasi ya kuandika ujumbe wa kutia watu moyo, andika mara kwa mara, watu wanahitaji sauti za namna hii
Hiyo ata Mimi nimeskia but [emoji23][emoji23] make kwanza nicheke
Nani akaripoti Dadeqiii hii inaitwa sugunyoo Ukiitwa kama umeitwa na usipoitwa kama umeitwa tu... Sema nin mwenye nacho ataongezewa...Mbn kmy sana humu aisee au wote mmeenda kuripot?[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] seriously tuachen uta leo nilikuwa naongea na kiongoz flan iv kaniambia mwez wa 10 uwakika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]watu wanahitaji sauti za namna hii mwisho wa kunukuu
Umeongea kinyonge sana kijana [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]Nani akaripoti Dadeqiii hii inaitwa sugunyoo Ukiitwa kama umeitwa na usipoitwa kama umeitwa tu... Sema nin mwenye nacho ataongezewa...
Eeeeeh kumbe bas hizo ndo ronja za uhakika.. kila mtu anasema wa 10[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] seriously tuachen uta leo nilikuwa naongea na kiongoz flan iv kaniambia mwez wa 10 uwakika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Kinyonge coz nimepunwa hela sanaUmeongea kinyonge sana kijana [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]
Na bado huna uwakika kama utatoboa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Kinyonge coz nimepunwa hela sana
Pole sana ajali kaziniNote: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.
""Pay after Win"
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]Note: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.
""Pay after Win"
Aitheee pole sana ndugu yanguNote: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.
""Pay after Win"
sasa wewe ndio umeongea KIKUBWA maumivu haya hata mimi yalinikuta mpaka sasa siamini mtu yoyoteNote: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.
""Pay after Win"