K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Huyu huyu aliyenae K L hao wengine nawajua mkuu. Huyo Lilian si alikuwa analiwa na Macha ndio kisa cha mzee kugombana na Macha?
Yop. ...naona issue unaijua haswa...
 
Reactions: MJJ
Unajua maana ya danga au unaongea tu popompo wewe. Ina maana hata baba yako ni danga kwa mama yako au sio?. Watu wamependana wameoana tatizo lipo wapi? Na huo udanga umetoka wapi? Usitake kuandika hapa ili watu wakuone na wewe umeandika kitu
Nawe umekurupuka amesema kua huyu k-lyin hizo pesa hakufight mwenyew kapata kwammewe huyo huwez hata kumfananisha na jaydee ashukuru papuchi imempa mtaji
 
Odemba na millen wamefanya nini zaidi ya kugawa vyandarua vilivyotiwa dawa na malapa?

hahaha usinitukanie Odemba wangu wa tangazo la Revola sabuni , yaani nampenda yule Dada hakuna aliyemfunika hadi sasa! wakina odemba na millen wanatoa kutokana na uwezo wao huwez fananisha na huyo klyn mke wa bilionea
 
Kempinski...alikuwa keshajikatia tamaa! Ila sasa hivi ni maadam[emoji40] [emoji40] [emoji40]...sina milioni saba asee
Hakuna binadamu asiye na machafu yake.. Jack pamoja na hayo aliyoyafanya aliweza kulinda fame yake na hakuwahi kuandikwa kwa tabia za kijinga jinga.. Zaidi ya Kinje ebu niambie wewe ni nani mwingine amedate na huyo?? Sana sana utasema oooh sijui wazungu, sijui alikuwa anajiuza Kempinski na blah blah nyingine..

Wanaume tukitaka kuoa hatiangaliagi list ya waliopitaga. Tunataka tukioa utulie na ifanye vitu vya msingi kama anavyofanya Jack. Wewe unaweza ukawa umepitiwa na list ndefu isiyotajika na usingle mother unao lakini ukapata mume na ukawa mwanamke wa mfano hapo mtaani kwako
 
Mzungu ...
Bushoke..
Bluuu..
Kin.e[emoji379]
Madanga
Machache
ONGEZEA shost...[emoji379] [emoji379] [emoji379]
Hahahahaha kwahiyo kuimba nyimbo na Bluu na huyo Bushoke basi ndio alijiuza kwao. Hapa naona unaongea kwa wivu tu na chuki. Wewe ulitaka asiwe kwenye relationship Mengi amkute bikra au??
 
Unajua maana ya danga au unaongea tu popompo wewe. Ina maana hata baba yako ni danga kwa mama yako au sio?. Watu wamependana wameoana tatizo lipo wapi? Na huo udanga umetoka wapi? Usitake kuandika hapa ili watu wakuone na wewe umeandika kitu
Huu uzi kuna single mothers naona wanaumia sana na life la Jack.. Muwe mnaangalia watu wa kuwabebea mimba hahahahaha.. Maana ukifikiria kupata pesa ya ada au maziwa ya mtoto mpaka ukapanue paja wakati Jack watoto wanashinda kwenye First Class angani wakibadilisha tu nchi za kutembea
 
Huyu ndio alichagua fursa, yaani hata akiamua akae ndani anaangalia tv tu anauhakika wa kula bata hadi anakufa. Sio wale vinuka mkojo wanaopoteza muda kwa vitoto vikina Harmonize. We waache tu fainali uzeeni
Screpa nimekupenda ghafla yaaan umejuaje? Wale ng'ombe wana misuse resources zao [emoji85] !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…