K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Watatu wawili wapo mmoja ndio marehemu....Regina,Abdiel, Motie(R.I.P).
Rodny alikua mtu wa bata sana huyuu!
Alikua anakula dogo pale Forondo kila week end anampeleka South enzi za GG....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Flaviana Matata amemganda TRUMP. Ngoja uone mpambano wake na Jacquiline, huku madafu huku dolali.
Flavian Matata alikua anafanya modeling kwenye agency ya Trump kuanzia miaka ya 2005 kwanza Trump ana kamrembo kake kalikua miss na Flavian nae keshaolewa na kifaru mmoja.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ....watu wanasifia tuu! Wengine tuna mafile yao ya kufa mtu.... Hata Wema ana nafuu sema ndo hivo lilia bahati sio uzuri!!!
umeona eeehhh!!!
Kadanga Sana tu
Sasa hivi muache atulie
Hata lulu,gigy money na wema wakitulia wataonyeshwa the guardians
Ndo maana madam machache alimpeleka madam wa bang kwa kutoa picha za harusi yake bila idhini yake
yaah nakumbuka sema sijui iliisha wapi ile kesi!
 
FB_IMG_1474003654287.jpg
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
 
Back
Top Bottom