BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Tena wamemuona kafanya la maana...Kuna watu wana nyota ya kutosemwa yani hii couple ingekuwa bi couple nyingine age difference na ndoa ya mzee ya awali basi ingesemwa hatari.
Lakini ajabu kwao kila mtu anamsifia k lyn