K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
Hahahahaa hao wengine wamedominate kwenye magazeti ya kuwashia kuni.
 
Mke wa kwanza wa Mengi alifariki 2006 na kuzikwa nyumbani kwa mengi machame kilimanjaro.
 
yaani achatu ndugu yangu,sasa hapa bongo mtu kuwa celebrity anaona kasha maliza dunia yote,nambaya zaidi hawa jifunzi kwa walio fail before..!!Hawa wadada kina Nancy,Kline,Faraja,Hoyce walitumia urembo kama means yakufanikisha harakati zao achana na hawa wanao shinda kwenye mabar,inst kukaa uchi nakubadilisha shape wanasahau kuwa umri unaenda alafu wamesahau sura zao wamezitunza kwa mkorogo na maplastic surgery!!nawaone huruma sana
Hao uliowataja malezi yao yako tofauti!!
Nancy ana elimu
Faraja ana elimu.
Hoyce ana elimu
Nasreen ana elimu but sina hakika km ni degree
Jack ameassociate na wenye elimu

Pesa IPO lazima ajitambue
 
Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west
Ngekewa hiyoo!!

Kadanga sana pale Kilimanjaro[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'Amorette" lenye brand yake ambapo atakuwa anauza furniture mbalimbali za nyumbani pamoja na mambo ya interior decorations.

View attachment 401358
huyu mwanamke hana kampani ya ajabu yaani njia moja ya kufanikiwa [HASHTAG]#keep[/HASHTAG] the circle small hana new friends wale wale tena wenye mawazo ya mafanikio....
 
huyu dada kapata bingo tu.. na kajua kulitumia danga vizuri..
lakini yeye na kina mwafulani ndo wale wale..
angefanya kwa pesa zake kama kina odemba au millen tunge muelewa lakini huyo baba ni sponser kwake !
ambacho katufundisha ni kukamatia danga na kutulia kulichuna haswa.
Odemba na millen wamefanya nini zaidi ya kugawa vyandarua vilivyotiwa dawa na malapa?
 
Back
Top Bottom