Aaaah Lau MashaMacha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi icho. Kwa sasa yupo kitaa tu
Aaaah Lau Masha
Ukweli mtupu!!Wivu na chuki...
Nasikia alivyorudi Mwanza kawaumiza sana watoto wa SautYap. Huyu mpaka leo anavizia mademu wa watu mwoga wa kutongoza.
Dah!unavyomtetea....?!!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahahaha kwahiyo kuimba nyimbo na Bluu na huyo Bushoke basi ndio alijiuza kwao. Hapa naona unaongea kwa wivu tu na chuki. Wewe ulitaka asiwe kwenye relationship Mengi amkute bikra au??
Mashavu wewe [emoji1] [emoji1]Ukweli mtupu!!
Nasikia alivyorudi Mwanza kawaumiza sana watoto wa Saut
[emoji108] [emoji108] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mashavu wewe [emoji1] [emoji1]
Msipendage sana kushambulia watu kwa fake names bana.. Be u then mseme unavyotaka wala sitaweza kumtetea.. Kuna wengine humu profile zao hazitazamiki ila ndio hodari kuwachafua ambao wameweza kujijengea heshima fulani kwenye jamiiDah!unavyomtetea....?!!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Msipendage sana kushambulia watu kwa fake names bana.. Be u then mseme unavyotaka wala sitaweza kumtetea.. Kuna wengine humu profile zao hazitazamiki ila ndio hodari kuwachafua ambao wameweza kujijengea heshima fulani kwenye jamii
Kwani IMMA si ni one of the best Law firm in the country.. Au tangia JK awateue wale washirika wake kuwa majudge IMMA imekufa??Hivyo hivyo ila amefulia sana
Kuna ambaye si maovu dunia hii?? At least maovu yake hayaonekani na kaweza kuyafifisha kwa tabia zake njema za sasa..Mnamsifia kama malaika vile...
Wakati nae ana ya kwake maovu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ila hayafuti ya zamani!!!piaKuna ambaye si maovu dunia hii?? At least maovu yake hayaonekani na kaweza kuyafifisha kwa tabia zake njema za sasa..
Ya zamani yako wapi?? Ebu tuelezee maana inaonekana unamjua sanaIla hayafuti ya zamani!!!pia
Acha ajadiliwe kama wengine
Maana nao muda ukifika wakiokota danga la maana km hilo watatulia
Wote die wachafu sawa Ila ya zamani yako palepal!
Kwani IMMA si ni one of the best Law firm in the country.. Au tangia JK awateue wale washirika wake kuwa majudge IMMA imekufa??
Hahahahaa eti Mimi nilikuwaga Waziri..Limebaki jina tu, kuna ndugu yangu anafanya hapo kwa sasa hakuna kitu. Macha tulikuwa tumekaa nae mikocheni sehemu flani jamaa yangu akaenda msalani yaan dakika mbili nyingi akaanza kumtongoza dame wa mshikaji, swaga zake ohoo Mimi Macha niliyekuwa waziri ahaa demu akamtolea nje coz akujua kama na mimi nipo kampani moja na mshikaji na demu aliona tu haibu kwa sababu mshikaji nae alikuwa kamuokota chuo hapo mlimani siku.
Mie sio celebrity!!Ya zamani yako wapi?? Ebu tuelezee maana inaonekana unamjua sana