K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Hahahahaha kwahiyo kuimba nyimbo na Bluu na huyo Bushoke basi ndio alijiuza kwao. Hapa naona unaongea kwa wivu tu na chuki. Wewe ulitaka asiwe kwenye relationship Mengi amkute bikra au??
Dah!unavyomtetea....?!!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Najiuliza ni kwanini hatukujuana mapema... Hhata kama sina kitu najiona tajiri... Ah mbona wanitizama kisha waanza kulia kama nimekukosea naomba.. Msamaha... Hapana hujanikosea ninalia kwa furaha mapenzi unayonipa sijawahi kupata... Ahnmm bushoke anamuambia nabado nabado sijafika mwisho...

Mtoto anasema nimeishi na wasiojua kupenda...wasiojua hata kubembeleza..

Alijua atapata Mapacha!
 
Msipendage sana kushambulia watu kwa fake names bana.. Be u then mseme unavyotaka wala sitaweza kumtetea.. Kuna wengine humu profile zao hazitazamiki ila ndio hodari kuwachafua ambao wameweza kujijengea heshima fulani kwenye jamii

Mnamsifia kama malaika vile...
Wakati nae ana ya kwake maovu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mnamsifia kama malaika vile...
Wakati nae ana ya kwake maovu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kuna ambaye si maovu dunia hii?? At least maovu yake hayaonekani na kaweza kuyafifisha kwa tabia zake njema za sasa..
 
Kuna ambaye si maovu dunia hii?? At least maovu yake hayaonekani na kaweza kuyafifisha kwa tabia zake njema za sasa..
Ila hayafuti ya zamani!!!pia

Acha ajadiliwe kama wengine
Maana nao muda ukifika wakiokota danga la maana km hilo watatulia

Wote die wachafu sawa Ila ya zamani yako palepal!
 
Ila hayafuti ya zamani!!!pia

Acha ajadiliwe kama wengine
Maana nao muda ukifika wakiokota danga la maana km hilo watatulia

Wote die wachafu sawa Ila ya zamani yako palepal!
Ya zamani yako wapi?? Ebu tuelezee maana inaonekana unamjua sana
 
  • Thanks
Reactions: MJJ
Kwani IMMA si ni one of the best Law firm in the country.. Au tangia JK awateue wale washirika wake kuwa majudge IMMA imekufa??


Limebaki jina tu, kuna ndugu yangu anafanya hapo kwa sasa hakuna kitu. Macha tulikuwa tumekaa nae mikocheni sehemu flani jamaa yangu akaenda msalani yaan dakika mbili nyingi akaanza kumtongoza dame wa mshikaji, swaga zake ohoo Mimi Macha niliyekuwa waziri ahaa demu akamtolea nje coz akujua kama na mimi nipo kampani moja na mshikaji na demu aliona tu haibu kwa sababu mshikaji nae alikuwa kamuokota chuo hapo mlimani siku hiyo
 
Limebaki jina tu, kuna ndugu yangu anafanya hapo kwa sasa hakuna kitu. Macha tulikuwa tumekaa nae mikocheni sehemu flani jamaa yangu akaenda msalani yaan dakika mbili nyingi akaanza kumtongoza dame wa mshikaji, swaga zake ohoo Mimi Macha niliyekuwa waziri ahaa demu akamtolea nje coz akujua kama na mimi nipo kampani moja na mshikaji na demu aliona tu haibu kwa sababu mshikaji nae alikuwa kamuokota chuo hapo mlimani siku.
Hahahahaa eti Mimi nilikuwaga Waziri..
 
  • Thanks
Reactions: MJJ
Back
Top Bottom