Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mi nimekuelewa sn!!Nyinyi mnaomuonea wivu Klyn hamjui tu mwenzenu anayopitia, katika umri huo kwanza wazee wengi wako kwenye regular medications, kwahiyo bibie lazima ahakikishe kuna glass ya maji pembeni mzee asisahau kunywa dawa. Inabidi ujifunze kubadilisha catheter bag, haki ya ndoa mwenzako anaona unamuonea/kumsumbua wakati wewe ndiyo uko kwenye peak time. Hakuna bure rahisi.
Mtu anaeweza hayo ni mke wa kwanza.Mi nimekuelewa sn!!
Hoyce Temu hajawahi kuwa na sifa ya umalaya ila alikuwa na kaumbea umbea flani hivi akiwa anaishi fire kule Arusha karibu na kina Joh Makini Daraja 2...Nancy hakuna na nyota ya nini?.....ha ha ha labda huyo Hoyce ndo sijui ishu zake
Ha haa haa eti umbea mbea... Inawezekana ana kahulka hako manake bidada ni talkative sana..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hoyce Temu hajawahi kuwa na sifa ua umalaya ila alikuwa na kaumbea umbea flani hivi akiwa anaishi fire kule Arusha karibu na kina Joh Makini Daraja 2...
nakumbuka siku moja machalii wadogo wa Arudha walimpiga maskini kisa umbea.
Baadaye ndio kaja kutulia Dsm na amekuwa mtu mzima na anajielewa.
Zaidi sana namwona mwenye utu sana wa kujali bin'adamu wengine.
Dah...hahahaha,Haa haa haa...mwasu unamjua vizuri le madam, three times my bro ananiita pale kempinski nikavizie buffet lao ( manake alikuwa food & beverage manager) namkuta pale na kibriefcase kidogo cheusi utaona anachomoa laptop na karatasi anaandika andika huku anang'aa ng'aa macho huku na kule ila sie wajanja unajua mchezo na ishu zingine tu siwezi sema zote...ukiongea hapa unaonekana una wivu na chuki[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli kabisa. Nimemsifu Mrs. Mengi kwa kuchagua kampani safiHabari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
Shoga nambie komaa!!Yap yule mmoja si aliacha ndoa na mtoto wa Sheikh Yahya na sasa ni mke wa Prof. wa Muhimbili.
Ahh, stay thereππππShoga nambie komaa!!
Yule sophy eeehhh!!
Kweli mjini ustatus....!!
mmmmhhh!!!mke mdogo wa profesa, sio mke wa kwanza.
Ahh, stay thereππππ
Hee mbea mimi mbona siwasomi wambea wenzangu??...Sophy byanaku ni mke mdogo wa?...hatareee!!!
looohhh!!
yaani ukiwaona kimyaaaa....
kumbe chini ya carpet...
Mwenzangu!!ndo nimetoa[emoji101] [emoji101] ma [emoji15] [emoji15] kusikiliza umbea!!!!Hee mbea mimi mbona siwasomi wambea wenzangu??...Sophy byanaku ni mke mdogo wa?...
Tatizo.la wema ni hapoYaani liwema linaniboaga hadi basi, hivi we kile kiidrisa ni cha kumpanulia liharage lake kweli?!?[emoji15] [emoji15] ....ukikutana nacho kina mambo ya kitoto toto halafu kishamba flani hivi amazing!!!... Nikajisemea khaa wema anayaweza asee...
Only CK ndo danga lake la ukwee...wengine wote vitoto na futureless, ila wote funika bovu ni Wolper asee...kile kitoto si kinanuka maziwa halafu kidunchu hata kiganjani hakitoshii[emoji124] [emoji124] [emoji124]Tatizo.la wema ni hapo
Hachagui habagui
Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
Jack sio makin ila kabahatika kupata mme makinHuwa naipenda sana crew yao inajielewa mno katika mamiss tanzania wanaojiheshimu lazima uwaweke jack,nancy,nasreem,and faraja huwa najiuliza swali mmoja hiv huyu miss wetu wa 2006 sepenga kwann hawaangalii hawa angalau aige hata ujuz uhusiano wa kimapenz wapo makin yeye kukicha kila leo kubadir wanaume akiigiza movie hazitoki matangazo kibao la maana hamna mwisho kahamia kukata mauno stejin loh ,,,hongera sana jack hakika wewe ni mtu makin
Hahaaaaa wolper katishaOnly CK ndo danga lake la ukwee...wengine wote vitoto na futureless, ila wote funika bovu ni Wolper asee...kile kitoto si kinanuka maziwa halafu kidunchu hata kiganjani hakitoshii[emoji124] [emoji124] [emoji124]