Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mi nimekuelewa sn!!Nyinyi mnaomuonea wivu Klyn hamjui tu mwenzenu anayopitia, katika umri huo kwanza wazee wengi wako kwenye regular medications, kwahiyo bibie lazima ahakikishe kuna glass ya maji pembeni mzee asisahau kunywa dawa. Inabidi ujifunze kubadilisha catheter bag, haki ya ndoa mwenzako anaona unamuonea/kumsumbua wakati wewe ndiyo uko kwenye peak time. Hakuna bure rahisi.