K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Nyinyi mnaomuonea wivu Klyn hamjui tu mwenzenu anayopitia, katika umri huo kwanza wazee wengi wako kwenye regular medications, kwahiyo bibie lazima ahakikishe kuna glass ya maji pembeni mzee asisahau kunywa dawa. Inabidi ujifunze kubadilisha catheter bag, haki ya ndoa mwenzako anaona unamuonea/kumsumbua wakati wewe ndiyo uko kwenye peak time. Hakuna bure rahisi.
Mi nimekuelewa sn!!
 
Nancy hakuna na nyota ya nini?.....ha ha ha labda huyo Hoyce ndo sijui ishu zake
Hoyce Temu hajawahi kuwa na sifa ya umalaya ila alikuwa na kaumbea umbea flani hivi akiwa anaishi fire kule Arusha karibu na kina Joh Makini Daraja 2...

nakumbuka siku moja machalii wadogo wa Arusha walimpiga maskini kisa umbea.

Baadaye ndio kaja kutulia Dsm na amekuwa mtu mzima na anajielewa.

Zaidi sana namwona mwenye utu sana wa kujali bin'adamu wengine.
 
Hoyce Temu hajawahi kuwa na sifa ua umalaya ila alikuwa na kaumbea umbea flani hivi akiwa anaishi fire kule Arusha karibu na kina Joh Makini Daraja 2...

nakumbuka siku moja machalii wadogo wa Arudha walimpiga maskini kisa umbea.

Baadaye ndio kaja kutulia Dsm na amekuwa mtu mzima na anajielewa.

Zaidi sana namwona mwenye utu sana wa kujali bin'adamu wengine.
Ha haa haa eti umbea mbea... Inawezekana ana kahulka hako manake bidada ni talkative sana..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haa haa haa...mwasu unamjua vizuri le madam, three times my bro ananiita pale kempinski nikavizie buffet lao ( manake alikuwa food & beverage manager) namkuta pale na kibriefcase kidogo cheusi utaona anachomoa laptop na karatasi anaandika andika huku anang'aa ng'aa macho huku na kule ila sie wajanja unajua mchezo na ishu zingine tu siwezi sema zote...ukiongea hapa unaonekana una wivu na chuki[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dah...hahahaha,
 
Sehemu kama hiyo hawezi kualikwa yule demu anaetembea na wanamuziki wa WCB wanamuita kigodoro......hapo nawaona mamiss wenye heshima zao tu ndio wamelikwa.
 
Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli kabisa. Nimemsifu Mrs. Mengi kwa kuchagua kampani safi
 
Yaani liwema linaniboaga hadi basi, hivi we kile kiidrisa ni cha kumpanulia liharage lake kweli?!?[emoji15] [emoji15] ....ukikutana nacho kina mambo ya kitoto toto halafu kishamba flani hivi amazing!!!... Nikajisemea khaa wema anayaweza asee...
Tatizo.la wema ni hapo

Hachagui habagui

Angetafuta danga lake la maana atie heshima dar
 
Huwa naipenda sana crew yao inajielewa mno katika mamiss tanzania wanaojiheshimu lazima uwaweke jack,nancy,nasreem,and faraja huwa najiuliza swali mmoja hiv huyu miss wetu wa 2006 sepenga kwann hawaangalii hawa angalau aige hata ujuz uhusiano wa kimapenz wapo makin yeye kukicha kila leo kubadir wanaume akiigiza movie hazitoki matangazo kibao la maana hamna mwisho kahamia kukata mauno stejin loh ,,,hongera sana jack hakika wewe ni mtu makin
Jack sio makin ila kabahatika kupata mme makin
 
Huyu dada anajitambua sana. Hongera sana. Hii fursa ya kuolewa na bilionea ingemkuta Sepetunga angeweuka angepigania kuandikwa tu kwenye vigazeti uchwara na mambo ya kishenzi. Anatoka na vijamaa vyenye visenti tu vya mboga lakin mtaani hatunywi maji. Hongera sana Dada Jacline unajitambua na unajiongeza pia
 
Only CK ndo danga lake la ukwee...wengine wote vitoto na futureless, ila wote funika bovu ni Wolper asee...kile kitoto si kinanuka maziwa halafu kidunchu hata kiganjani hakitoshii[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaaaaa wolper katisha

Halafu anavyojibebisha hadi aibh
 
Back
Top Bottom