RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wewe unaweza kumpenda kapuku? Na hivi role model ni kiria.....Hivi makapuku hawafai kuopendwa au kua na mademu wakali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaweza kumpenda kapuku? Na hivi role model ni kiria.....Hivi makapuku hawafai kuopendwa au kua na mademu wakali?
Ndio nampenda tu,mke wa obama alijua mmewe atakuja awe raisi wa dunia?mama salma Kikwete je?mama janeth Maguful ,mi nawapenda makapukuWewe unaweza kumpenda kapuku? Na hivi role model ni kiria.....
Unaonaje ukaanzisha yako mkuu-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
We acha hiyo kabisa. ...WANAWAKE WA KICHAGA TUNA HEKIMA NA BUSARA. ..Zamani mimi mwenyewe nilijua Jack mhaya, wahaya wanatamani kila mtu maarufu awe wa kwao the same tu wachaga, haya makabila Nyerere Aliya hofia sana
Hao ni wengi sana, unapopoteza uwezo wa kujiamini mara nyingi utumia vyeo, pesa, Elimu kuwa siraha ya kukubalika kwenye jambo lolote.
Mwanaume ongea watu watakujaji kwa uwezo wako kuchanganua mambo.
I think expectation was a little bit high regarding mengi 's dough....hahahaLabda, maana uzuri wa kitu upo machoni pa mtu mwenyewe. Kwangu naona ni nzuri na inanivutia ila kwako ni kinyume chake. Naheshimu wazo lako pia.
Klyn namwombea awe hakumuumiza roho yule mke wa Mengi wa kwanza maana binadamu malipo ni hapa hapa duniani. ..naye ana watoto .....aombe sana kwa MWENYE ENZI MUNGU. ...mke wa kwanza akiangusha chozi lake huwa linafika moja kwa moja kwa MAULANA. .ehh MOLA wangu tuongoze. ..wazungu wanasema 'what goes around comes around ' ... ndiyo maana dini nyingine zina waheshimu sana wake wa kwanza na hata makabila mengine pia, tena huwa wanaomba kibali cha kuoa maana wanaelewa bila blessings za bi mkubwa ni kutwanga maji kwenye kinu...WATCH AND PRAY
Hao wote uliowata hamna aliekuwa kapuku. Au sijui maana ya kapukuNdio nampenda tu,mke wa obama alijua mmewe atakuja awe raisi wa dunia?mama salma Kikwete je?mama janeth Maguful ,mi nawapenda makapuku
Wishful thinking. ....Sasa kosa la K-Lyn hapo ni lipi? Kwani ni K-Lyn ndiyo alimtongoza " Mipua " au " Mipua " ndiyo alijipendekeza kwa Mtoto wa Kihaya aliyeumbwa na kuumbika? Wakati mwingine ' what goes around comes around ' huwa " what goes around goes forever ".
Wishful thinking. ....
Hapo ndio mi huwa nashangaa unafiki wa sie binaadamu...ukifikisha miaka arobaini na tano hujaoa watakunanga mpaka ukose hamu ya kuishi...lakini ukioa mapema na baadae ukaacha na kuoa mwingine wanaona umefanya sawa sawa.Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
HEBU TEMA MATE CHINI! NI UWONGO WA HALI YA JUU. ...NAOMBA KESHO JUMAPILI UENDE KANISA LA AZANIA FRONT MISA YA SAA TATU, UTAMKUTA KAJAA TELE MAMA WA KIMACHAME TENA NI MZEE WA KANISA NI MPOLE NA NI MAMA MWENYE HEKIMA NA BUSARA. ...WITH A SMILE IN HER FACE!Niliwahi sikia kwamba aliyekuwa mke wa Mengi alishatangulia mbele za haki sijui ni kweli
Hahahaha. ...have a blessed Saturday my friend. ..Naona taratibu unataka kujaa katika " frame ". Nakutakia kila la kheri Mkuu.
Aliyeanzisha alikuwa nani? utakuta Mzee ndiye alilianzisha na alipoona ngumi zinakuja mfululizo akaamua kuwa Filbet Bayi.Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
AmenYou too.
Hahaha mkuu jamaa anatuingiza chaka watu wazima banaMkuu unauwezo mkubwa wa ku connect dots. Uandishi tu unaraise red flags.
Kwani Familia za kihaya ndio Classic Family. Hao wahaya si ndio familia zilizokuwa zinzongoza kwa kuuza papuchi?Jack hayupo kama hao viruka njia bana hata robo hawafikii mtoto Wa watu amelelewa kiheshima sana classical chezea wahaya
wewe hakuna kitu cha ajabu alichokifanya Jack ukikinganisha na kawaida ya adolescent age ambayo wote wanapitia sisi tunaongelea hawa ajuza wetu ambao hawataki kubadilika na umri.